Wanaume yanawakutaga

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,778
Ninamfahamu Deo kwa miaka zaidi ya mitatu sasa tangu ameajiriwa kwenye kampuni yetu, nimfahamu mke wake na watoto kwani katika shughuli za kifamilia mara nyingi ananialika, mke wake ni mcheshi na mrembo.

Deo ananichukulia mimi kama dada mkubwa na mambo yake mengi ya maisha ananishirikisha. Pamoja na kuwa Deo ameoa lakini bado ujana bado mwingi.

J3 moja akawa ananipa story za weekend yaliyotokea, alikwenda club akakutana na binti waliongea na kubadilishana number za simu, binti yule alikuwa ameolewa lakini mume wake ni Journalist kwahiyo anasafiri sana na inaelekea mara nyingi anakuwa mpweke na ndiyo maana anakwenda club.

Urafiki wao uliendelea kiasi cha kuwa Deo alikuwa anakwenda nyumbani kwa binti kila mume wake akiwa amesafiri, walikuwa karibu sana. Sasa kuna siku Deo amekuja kazini ananiambia yule binti amefariki ghafla akiwa usingizini. Kwa ukaribu aliokuwa nao Deo na yule binti nilimuonea huruma sana.

Kitu kilichokuwa kinanisumbua ni kuwa huyu mwanaume amefiwa na mtu wa karibu sana, hawezi kuomba ruhusa kazini kwenda msibani kwani kule hamjui mtu yeyote, watakuwa ni ndugu wa marehemu na ndugu wa mume. Nyumbani hawezi kumwambia mke wake kuwa amefiwa na anaomboleza.

Kuwa mtoto wa kiume kunataka ujasiri.
 
yawezekana kuna sms zilizokaa kiugegedaji ambazo zilikutwa kwenye simu ya marehemu.
 
Poleni.

Ila kwani taarifa za huyo mwanamama kufariki, Jamaa alizipata vipi/wapi? Na kwani huwa wanahoji watu wanaojitokeza msibani, kiasi aogope kwenda?
 
Si atahudhuria msibani kama rafiki.

Ninakuelewa lakini kipindi hiki cha maombolezo wakati maandalizi ya mazishi yanafanyika, ndugu na marafiki wanajuana, either waliosoma nae, wakanisani, anaofanya nao kazi. Deo hamfahamu mtu yeyote uhusioano wao ulikuwa wa siri kati yake na marehemu.
 
Ukioma mwanamke anasema uongo ujue kafundishwa na mwanaume.

Unaujua wimbo una part 'i learned it from the best, i learned it from you' ?

Duh! Ndio Kwanza nasikia hiyo ya wanawake kufundishwa uongo na wanaume. Niliwahi kusikia kuwa; "men lie a lot, but women tell the biggest lies"- Chris Rock.

Hapana. Siujui huo wimbo. But a liar is a liar, doesn't matter who taught who.
 
Deo aliniambia one Friday amefika nyubani anamkuta wife amevimba akamwambia kila Ijumaa wewe unatoka unarudi Jmosi asubuhi, yaani mimi niko hapa kulea watoto wako tu, mwanaume huonekani. Basi Deo akajua kimenuka leo hakutokeki hapa. Mida ya saa mbili tatu binti akapiga simu, I'm bored, njoo, Deo akamwambia leo siwezi kwenda viwanja, binti akasisitiza njoo basi unipe a good night kiss. Base Deo anasema kwenda kule story zikaanza, mambo ya henessy, mziki, kustuka ni saa 12 asubuhi.

Deo alitoka pale, straight butcher akanunua nyama, akaenda Ferry kusanya samaki, akatafua sato pia, kutoka. Amefika nyumbani wife anatengenezea watoto breakfast hataki hata kumwangalia. Basi Deo akaweka mizigo kwenye sink la jikoni, akaenda kuoga na kulala.

Mke ameingia jikoni anakuta ile mizigo, akaanza kuosha na kuweka kwenye freezer. Baadae akaenda chumbani mwenyewe baba nanii, samahani sikujua kumbe ulikwenda kututafutia sisi, nikutengenezee nini mume wangu. Akajibu supu.
 
Women only lie about their age and their weight, and that is acceptable lol.

Song by whitney.
whitney houston i learned from the best - Google Search

Lyrics hizi hapa

"I Learned From The Best"

Did you really think that
I would really take you back
Let you back in my heart one more time
Ohh. No. No.
Did you think that I'd still care
That there'd be more feeling there
Did you think you could walk back in my life.
So you found you miss the love you threw away.
Baby but you found it out too late. Too Late.

[Chorus:]
And so now you know the way it feels to cry
The way that I cried when you broke my world in two.
Baby I learned the way to break a heart
I learned from the best.
I learned from you.
Oh baby now.
I learned from you
I remember cold nights
Tears I though would never dry
How you shattered my world
With your goodbye.Your goodbye baby
Would've sold my soul then.
Just to have you back again
Now you're the last thing on my mind.
Now you say your sorry and
You've changed your ways
Sorry but you changed you ways too late.

[Chorus]

So when all you've got are sleepless nights
When those tears are clouding up your eyes
Just remember it was you who said goodbye
Who said goodbye.

[Instrumental break]

[Chorus]

Duh! Ndio Kwanza nasikia hiyo ya wanawake kufundishwa uongo na wanaume. Niliwahi kusikia kuwa; "men lie a lot, but women tell the biggest lies"- Chris Rock.

Hapana. Siujui huo wimbo. But a liar is a liar, doesn't matter who taught who.
 
Deo aliniambia one Friday amefika nyubani anamkuta wife amevimba akamwambia kila Ijumaa wewe unatoka unarudi Jmosi asubuhi, yaani mimi niko hapa kulea watoto wako tu, mwanaume huonekani. Basi Deo akajua kimenuka leo hakutokeki hapa. Mida ya saa mbili tatu binti akapiga simu, I'm bored, njoo, Deo akamwambia leo siwezi kwenda viwanja, binti akasisitiza njoo basi unipe a good night kiss. Base Deo anasema kwenda kule story zikaanza, mambo ya henessy, mziki, kustuka ni saa 12 asubuhi.

Deo alitoka pale, straight butcher akanunua nyama, akaenda Ferry kusanya samaki, akatafua sato pia, kutoka. Amefika nyumbani wife anatengenezea watoto breakfast hataki hata kumwangalia. Basi Deo akaweka mizigo kwenye sink la jikoni, akaenda kuoga na kulala.

Mke ameingia jikoni anakuta ile mizigo, akaanza kuosha na kuweka kwenye freezer. Baadae akaenda chumbani mwenyewe baba nanii, samahani sikujua kumbe ulikwenda kututafutia sisi, nikutengenezee nini mume wangu. Akajibu supu.
Hakuna kitu sipendi kama hicho.
Wanaume sijui wakoje?
Eti akijua kakosea atajikusanya anunue vitu kibao!

Nilivyo nitamtimua navyo....
Ila kuna wanawake wajinga wanavipokea na kuchekelea.
Namna hiyo si atakuwa anafanya makosa akijua atakununulia vitu nawe utapoa?
 
Hawa viumbe wanajua kukusoma kwanza, atakwambia nyinyi hamjua sisi tunapataje pesa, wewe unafikiri nilikwenda kujirusha mimi nilikuwa ninatafuta.
 
Back
Top Bottom