TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 384
Nina nyumba ndogo ambaye nimezaa naye mtoto mmoja,namhudumia kwa kiasi kikubwa na chumba nimempangia.
Juzi kati akaniaga kuwa anaenda kumsalimia mama yake,nikampa na nauli mida ya mchana akanipigia simu kuwa amepata ajali ya bodaboda na amelazwa hospitali nikaenda kumwona na kumfariji.
Baada ya siku mbili tatu nikaanza kusikia rumours kuwa alikuwa na mchepuko wake wakitoka gesti ndipo wakapata ajali.
Nikapeleleza na kugundua kuwa ni kweli kwani kuna jamaa ambaye inasemekana walikuwa naye ana majeraha ya ajali.
Na huyo jamaa ana pikipiki ambayo nayo ina dalili za ajali,nimfanyeje huyu? Niendelee kumhudumia au?