Earthworker
Member
- Jul 15, 2011
- 83
- 30
Kwa mabinti sio wote ila wachache ambao wameweka pesa kama ndo kipaumbele cha kwanza kwenye mahusiano! Ndo maana wengi mnatumika na wenye pesa na siku mkitaka kufika nchi ya ahadi (kwenye ndoa) mnakuta yule mtu aliyeteuliwa kukufanyia njia kwenye bahari ya shamu hayupo tena!
Hatukatai Pesa Ndo Kila Kitu! Ila Mkumbuke Muda Haurudi Nyuma! WAOWAJI TUPO SEMA WENGI HAMJIELEWI! SIKU MKISHTUKA NA TIME IMEKWENDA
Hatukatai Pesa Ndo Kila Kitu! Ila Mkumbuke Muda Haurudi Nyuma! WAOWAJI TUPO SEMA WENGI HAMJIELEWI! SIKU MKISHTUKA NA TIME IMEKWENDA