Inategemea familia ilivyo na shule anayoenda kukaa boarding.
unakuta wazazi walevi baba na mama wakitoka kazini wanapitia bar kurudi saa sita usiku kila siku, wakifika nyumbani ngumi zinaanza.
Kwa malezi hayo si bora watoto waende boarding hata wakiwa na 2 years?
Vipi kuhusu suala la maadili na Tabia ambazo atajifunza kutoka kwa walezi na waangalizi awapo Shule?Kama mzazi unataka ule life na kuepuka usumbufu. Nadhani hapo mzazi ana shida.
Kama mwanamke ameolewa akiwa na mtoto halafu baba wa kambo hamtaki mtoto ikamlazimu mama kumpeleka boarding basi hapo hakuna mapenzi.
Unless hiyo boarding school ni ya dini na waalimu wanalipwa vizuri sana na Kama inalazimu basi unaweza ukampeleka.
Boarding schools nyingi ndiyo huwa mazalia ya gay na lesbians na pengine kuchawiana. Believe me.
Kama shule watakuwa strict sana na waalimu wanalipwa vizuri kuna uwezekano mdogo akawa mtu mzuri.Vipi kuhusu suala la maadili na Tabia ambazo atajifunza kutoka kwa walezi na waangalizi awapo Shule?
mimi kama ntaendelea kuwepo katika hili pori nililopo kikazi, watoto watasoma boarding tuu hamna namna nyingine
Kwa sababu bado hujastahili kuwa mzazi...na hujui nini maana ya mzazi/mlezimimi kama ntaendelea kuwepo katika hili pori nililopo kikazi, watoto watasoma boarding tuu hamna namna nyingine
Umewahi ishi kijijin ndugu yangu? Kule ambako ukiingia darasan watoto wt wako peku,shati na kaptula ni viraka isipokuwa wako na wanaongea full kilugha chao hadi mwalimu inabid ajifunze ili aendane mfikirie mwanao aliekulia huko dar ulipo wewe anaadjust vipi kuendana nao na baada ya muda atakuwaje kutokana na mazingira hayo then ndo useme uzazi ni upi hapo, maisha sio dar tu tembea uone kama wewe mwnyewe acha mtoto kama utaishi,TZ hii kuna vijiji ni hatariKwa sababu bado hujastahili kuwa mzazi...na hujui nini maana ya mzazi/mlezi
hii sio excuse kwani hamna uhamisho wa kazi?Umewahi ishi kijijin ndugu yangu? Kule ambako ukiingia darasan watoto wt wako peku,shati na kaptula ni viraka isipokuwa wako na wanaongea full kilugha chao hadi mwalimu inabid ajifunze ili aendane mfikirie mwanao aliekulia huko dar ulipo wewe anaadjust vipi kuendana nao na baada ya muda atakuwaje kutokana na mazingira hayo then ndo useme uzazi ni upi hapo, maisha sio dar tu tembea uone kama wewe mwnyewe acha mtoto kama utaishi,TZ hii kuna vijiji ni hatari
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Sorry for this qn: ulisoma kwny mazingira yapi? kama ni Tz,was it in an intl school?Nilipelekwa boarding nikiwa darasa la nne (9yrs). Mdogo wangu wa mwisho alipelekwa akiwa na miaka minne. We turned out ok(I think). Inategemea tu na mazingira.