Mr Njovu
Member
- Mar 15, 2016
- 44
- 29
Habari wana JF, Mimi ni mtu mwenye umri wa makamo tuingie kwenye mada
Mke wangu mara kwa mara nimemuona ana mahusiano ya karibu sana na huyu binti yani muda wote wako wote, hii haikunipa shida kwasababu ni mwanamke mwezie. Nikirudi kazini nawakuta wawili tu nyumbani nasema that nice mke kutulia home kuliko kudhulula kwa marafiki zake.
Sasa jana nilirudi ghafla home baada ya kusahau domument zangu ndipo nikajionea mapya, mke wangu anafanya mapenzi na dada wa kazi aisee nilichoka nikahisi labda sioni vizuri, nikahisi hapa naweza nikavunja mtu kiuno lakini nikufanya lolote nikaondoka, nikaenda kutafakari tatizo ni nini nimerudi ananililia ananiambia shetani alimpitia nimsamehe hato rudia. Nataka nimrudishe kwao Moshi akili itulie kwanza kwasababu naweza nikafanya jambo baya.
Wakuu hili tatizo kama lingekukuta na wewe ungefanya nini?
Thanks