TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 384
kundi hili ni wahanga zaidi kuliko wanaume,hebu soma yaliyompata huyu mama.
Ni mama wa heshima zake na mwajiriwa wa kampuni fulani,bahati mbaya hakuwa na mtoto,alienda kwa mganga katika jitihada za kutafuta ujauzito,jirani ya nyumba ya mganga pana kijiwe cha wahuni, kijana mmoja wakijiweni alimtamani yule mama lakini hakuwa na jinsi ya kumpata hasa ukizingatia umri na personality ya yule mama.
Yule kijana baada ya kumtamani akaamua kucheza dili na mganga na kumpa laki moja ili ampate yule mmama,kesho yake yule mama alipokuja tena kwa mganga akapewa dawa na masharti kadhaa,mojawapo likiwa mwanaume wa kwanza kumsalimia kwa kumpa mkono awe mzee au kijana basi huyo ndiye atakayempa ujauzito,
Wakati huo yule kijana hakucheza mbali na nyumba ya mganga,mara yule mama alipotoka,yule kijana akajifanya kama anapishana naye kwa safari zake na kumwamkia kwa heshima huku akimpa mkono.
Mama akapagawa,akajua huyu ndiye niliyeambiwa,akatuma mtu akamwitie yule kijana kwenye grocery jirani na hivi ninavyokwambia kijana anagegeda tunda la mama kwa siri kama hana akili nzuri na mahitaji yote anapatiwa na yule mmama despite ya kuwa na mume,ila sijaona dalili za mimba mwaka na ushee unakatika sasa tangu nipate story hii