Kiluuj
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 692
- 277
FRIES.
Kama chips na vyakula vyote vya kufry.
Vinafanya level ya testosterone kushuka na hata blood pressure ambayo huleta uchangamfu katika mechi.Blood pressure ya chini ufanya hata dyudyu kutoweza kumaintain kusimama kwa muda mrefu.
ENERGY DRINKS.
Hivi huleta nguvu nyingi ila hazidumu.
Vinywaji hivi vina caffeine na sukari ambayo huyeyuka (burn) haraka .
Sukari pia hufanya utengenezaji wa testosterone kupungua.
WINE /ALCOHOL.
Kama unakunywa glass moja, kunywa ila usizidishe.
Pombe huweza kufanya mtu kuwa na lower sensitivity to touch na kwa kiwango kikubwa kuweaken orgasm.
A glass would be ok though.
FRUITS.
Jipe kama masaa mawili baada ya kula kabla ya kubugia matunda.
Kawaida matunda husagwa haraka na kuacha vyakula vingine(solid foods) ambapo huliacha tumbo likiwa na gas, likisumbua na kukuharibia starehe kwa kupiga makelele hivyo kukuharibia starehe.