Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,083
- 6,922
Habari Jf,
Kijana kama muda wa kuoa umefika usijaribu kuoa mwanamke mwenye mtoto au watoto kwa kujipa moyo kuwa inawezekana.
Madhara yafuatayo utapata baada ya kuoa na yatakuathiri kisaikologia.
1.Migogoro isiyoisha inayotokana na malezi ya mtoto,mfano mambo yanayohusu elimu(karo)
2.Mapenzi ya watu waliozaa hayawezi kuisha.Wataendelea kuwa na uhusiano wa kimapenzi
3.Simu za baba wa mtoto haziwezikupungua,unapogundua hivyo unaishia kuumia moyoni
4.Ndoa itavunjika kama mambo yatakuwa magumu na mengine mengine mengi, kiujumla mwanamke aliyezalishwa hafai kuwa mke.
Ushauri wadada jaribu kujitunza hadi ukiolewa.