tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,877
- 15,444
Wakuu,
Kuna binti wa mama mwenye nyumba ananinshangaza,kuna kipindi nilisafiri kwenda Uingereza na tangu nirudi huyu binti nimekuta ana tabia ya kuanikia chup.i zake karibu na mlango wangu,nilidhani mayb ni vile sikuwepo ndio maana amekuwa akifanya hivyo,lakini naona zoezi limekuwa endelevu.
Je, atakuwa ananitafuta nini huyu mtu wakuu?