Natafuta mchumba

handsome2

Senior Member
Mar 22, 2016
106
59
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi ni kijana above 30yrs, ninafanya kazi hapa hapa Dar, naishi maisha ya standard,yaani nina nyumba na nina gari, natafuta mchumba ambaye baadae baada ya kujiridhisha na mwenendo wake anaweza kuwa mke wangu,sichagui rangi,umri below 30,minimum education ni bachelor,waalimu watapata kipaumbele.

Aliye serious ani PM kwaajili ya maongezi zaidi.
 
Kwa hiyo nyumba na gari mbona pm itajaa...Ndo kipaumbele chao hicho...Na cha ajabu zaidi kakangu Utakutana na mdada hakupendi bali yuko tayari kuolewa sababu ya mali zako tu na ukishaoa utaisoma num er kwa michepuko.Kuwa makini
 
Umeshapa mpka dk hii???nikuambie kitu,jaribu kusema na Mungu kakangu nae atakuonesha aliye wako,.ila kwa kuwa una nyumba na gari tutakuja wengi pm
ahsante kwa maneno yako ya faraja,mungu atakubariki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom