Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za leo wadau? =Kuna usemi usemao mwanamke ni kiumbe dhaifu kwakuwa mwanaume aliumbwa kwa udongo ila mwanamke alitokana na ubavu wa mwanaume. =Swali langu linakuja hivi ni kwanini siku ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
KIDUMU JF Hii mbinu sijui walijifunza wapi, hawa mabinti ni wanaakili mno hii mbinu ni very tactical ukija kushtuka unakuta manyoya. Mfano umemtongoza mwanamke anafanya kazi benk au ana duka...
7 Reactions
52 Replies
7K Views
Katika jamii yetu, zipo familia (hasa upande wa wazazi) ambazo kazi kwao wanaipa nafasi ya kwanza alafu inafuatia familia, kwao bila kazi familia wanaiona kama vile haijakamilika kwa kila hali. Na...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kitambo men married women who were virgins and the dowry they gave was yams, honey and some goats. In 2016, a girl broke her virginity at 12yrs, and you are her 47th boyfriend. Her parents asks...
6 Reactions
56 Replies
5K Views
Kuna watu wananishangaza sana. Wakichoka kidogo utawasikia, eti oooh Leo nina stress sana... Hivi unajua maana ya Stress? Ngoja Leo nikwambie. Imagine umekutana na Demu mkali njiani ukaamua...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF, Ni tumaini langu mu wazima wa afya! Nimekutana na mtu akauliza swali mwenyewe nikakosa jibu.Kwa nini wanaume walio wengi chupi za kike kwao ni mwiko? Utakuta kama imeanikwa...
3 Reactions
123 Replies
19K Views
Habari za mda huu wana jf, bila kupoteza muda naomba niende kwenye tatizo langu ambalo nahitaji ushauri wenu, nilipokua secondary form four nilikua na gf ambaye yeye alikua form three, kiukweli...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kuna binti mmoja 24 yrs nimemtolea kishika uchumba kwao sasa pasaka nikammwambia sina kitu yeye kanijibu tusijuane tena sasa cha ajabu juzi alhamisi ananisumbua kwa meseji kuomba radhi ilihali...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
AMEKUWA ORIGINAL Najua unalalamika kuwa mumeo kabadilika sana sikuhizi, zamani hakuwa hiyo, alikuwa mtu mwema mwenye mapenzi, alikufungulia mlango wa gari kabla yeye hajaingia, alikusogezea kiti...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
naona uzee unaninyemelea wandugu sina mshichana na wala sijawa na hisia za kuanza kutafuta na ki finacial nipo safi na kielimu pia ..but i realy dont know the age of getting marriage.. nakaribia...
0 Reactions
95 Replies
9K Views
Upo katika strong relationship na unampenda au umeoa Ila unakuja kufahamu kuna jamaa linakugongea unafanyeje baada ya kugundua na kujiridhisha kweli jamaa anakugongea Ila una ushahidi wa moja kwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mambo rafiki Kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo: Ni...
13 Reactions
447 Replies
43K Views
Tunaendelea kuwaombea na kuwapa ushauri wanaume wa Dar, hizi junk food kama chips, burger, etc sio tu zinapunguza uwezo wako kwenye 6x6 bali zinafanya mtu awe mzembe mzembe. Nawasilisha.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni mbinu ambayo nilipewa kitambo sana na MTAALAM mmoja wa mapenzi na ambayo kiukweli niliitumia hadi nikaja kumpata Shemeji yenu huyu lakini pia nimeweza kutokuwa mchoyo na nimewapa hadi Wanaume...
9 Reactions
108 Replies
10K Views
Salam, Hivi nyie wadada siku hizi mmeingiwa na nini vichwani mwenu? Yaani nimekutokea jana tu halafu leo unanitumia text eti una sh 40,000, like serious? Kwa taarifa yenu kama mlikuwa hamjui...
22 Reactions
257 Replies
20K Views
Mimi ni Mwanaume umri 30-38. natafuta mke mwema umri 30-38, kwamawasiliano.0763808073.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
NA: George Iron Mosenya SEHEMU YA KWANZA ILIKUWA yapata majira ya saa tatu na dakika zipatazo kumi na mbili kwa mujibu wa saa yangu ya mkononi. Nilikuwa nimegida chupa za pombe zipatazo tatu na...
8 Reactions
190 Replies
60K Views
Wana jamvi, Nimesoma utafiti toka Chuo kikuu cha Wageningen nchini Uholanzi,watafiti hao wamegundua kua uvaapo soksi/mvaapo soksi miguuni wakati wa kugegedana hufanya mechi kua kalina ya muda...
4 Reactions
86 Replies
19K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu wa Jamiiforums....ni matumaini yangu kuwa wote muwazima wa afya na wale ambao afya zina mushkeli...hakika mwenyezi Mungu yupo upande wenu..... Leo ningependa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Nataka kuanzisha shindano la akina dada - Win a date with Ngabu. Wadau mnasemaje....
1 Reactions
269 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…