Ndoa imekuwa biashara wakati hamna bikra

Kitambo men married women who
were virgins and the dowry they
gave was yams, honey and some
goats.
In 2016, a girl broke her virginity at
12yrs, and you are her 47th
boyfriend. Her parents asks for 2
million as dowry. Kwani wanauza
experience......??? huu ujinga

Mkuu na sisi wanaume tumezidi kujionyesha tunazo "surplus" ndio maana hawa wadada wana-connect dot na kutukomoa.

Hivi majuzi nilitoka kumlipia mahari rafiki yangu,majina nayatunza kwa wote wawili.Nilienda kama mshenga mkoa wa klm huko maeneo ya machame kuna kasehemu sipajui vizuri lakini tulifika kwenye kahospitali nilikashika jina,kameandikwa NSHARA COMMUNITY MEDICAL CENTER,ndiyo mahali ambapo tulifika tukachepuka kwenye kanjia kakushukia huko chini.Njia haikuwa nzuri sana na hata hivyo tulikuwa na convoy kubwa magari 8, kadri jamaa alivyoweza kushawishi marafiki wengi wamsindikize.ikabidi tupaki vyombo vyetu vya usafiri kama mita 30 kutoka hapo ukweni.

Tulikaribishwa kwa taratibu zao wenyewe huko,japo wengi tulikuwa wapendwa hatutumii kata wala yale maandishi manne "Beer" hayo tuliwaachia wenyeji wetulakini kwenye nyama choma tulihusika sana,kiasi cha kuridhika. Shughuli ilipamba moto pale tulipoomba watutajie mahari, tulipe kiasi Fulani halafu kwakuwa tulikuwa na haraka ya kufunga ndoa tukataka pia kuomba watupe tarehe ya kuja kuoa,maana hilo jambo walisha lizungumza waoanaji wakakubaliana,mahari itajwe ilipwe kiasi kikubwa ibaki kidogo na. mwezi wa ndoa utajwe hata kama ni miezi mitatu au minne ijayo.

Wazazi wakaenda chemba na mshenga wao wakaja na jibu la mahari wanataka milioni sita na nusu,hapo uondoe makorokoro mengine ambayo yanagharimu karibu milioni tatu na nusu.lakini hayo yaletwe interms of items not money tukishindwa tuwape cash wakafanye manunuzi wenyewe. Mimi huwa ni bingwa wa kubageni mahari na most of my friend wananitumia kama mshenga na pia msimamizi wao lakini. to my best siku ile waligoma kushusha kabisa, wakesam labda yale makorokoro lakini mahari yao haishuki. Wenyewe tulijipanga na mil.2.5,halafu yule dada alikuwa anatembea na bosi wake yule kijana.aliyeondolewa kwa kashfa ofisin jijini.mimi nilimshauri rafiki yangu amuoe kwakuwa ameokoka atabadilika.

Kumbe yeye ndiye aliyechonga deal wasishushe mahari kwakuwa mpenz wake alikopa 10m za ujenz wa nyumba kwenye kiwanja chake huko Goba.Jamaa alinilaumu kwa nini nimemshawishi aoe mtu ambae anatoa siri zao kwa wazazi ili wamkomoe,wakati maisha watapata tabu wote wawili.nilimtia moyo turudi tukajipange.Mmoja kati ya wasindikizaji akaingilia na kusema hiyo ni bei ya kiwanja kikubwa sana Bonyokwa na Kinyerezi kama mmekataa tunarudi mjini tukajipange na Ndoa mpaka leo ipo hatiani.

Mchumba yaani yule mdada alikuwa akiona magari anayobadilisha rafiki yetu na wazazi waliwahi kumtembelea mjini wakapelekwa Jangwani Sea breez.mlimani city.wakarudishwa na laki 5 kila mmoja.na kale kamkopo kalimponza.
Tuache kuonyesha uwezo mkubwa kwa hao wachumba zetu wakina kaka ambao bado hamjaoa na hata baada kwa wake zetu ishini maisha ya kawaida.
 
Wazazi wakaenda chemba na mshenga wao wakaja na jibu la mahari wanataka milioni sita na nusu,hapo uondoe makorokoro mengine ambayo yanagharimu karibu milioni tatu na nusu.lakini hayo yaletwe interms of items not money tukishindwa tuwape cash wakafanye manunuzi wenyewe. Mimi huwa ni bingwa wa kubageni mahari na most of my friend wananitumia kama mshenga na pia msimamizi wao lakini. to my best siku ile waligoma kushusha kabisa, wakesam labda yale makorokoro lakini mahari yao haishuki. Wenyewe tulijipanga na mil.2.5,halafu yule dada alikuwa anatembea na bosi aliyeondolewa kwa kashfa ofisin jijini.mimi nilimshauri rafiki yangu amuoe kwakuwa ameokoka atabadilika.Kumbe yeye ndiye aliyechonga deal wasishushe mahari kwakuwa mpenz wake alikopa 10m za ujenz wa nyumba kwenye kiwanja chake huko Goba. Mmoja kati ya wasindikizaji akaingilia na kusema hiyo ni bei ya kiwanja kikubwa sana Bonyokwa na Kinyerezi kama mmekataa tunarudi mjini tukajipange na Ndoa mpaka leo ipo hatiani.

Kumbe mdada alikuwa akiona magari anayobadilisha rafiki yetu na wazazi waliwahi kumtembelea mjini wakapelekwa Jangwani Sea breez.mlimani city.wakarudishwa na laki 5 kila mmoja.na kale kamkopo kalimponza.
Tuache kuonyesha uwezo mkubwa kwa hao wachumba zetu wakina kaka ambao bado hamjaoa na hata baada kwa wake zetu ishini maisha ya kawaida.
loooh!kumbe kuna wadada wenzangu wakatili hivyo?
Na wazaz siku hiz wamegeuza biashara!
Si kwetu hata hapa mtaani kwetu mabibo kuna mabinti tumejitunza wala sio viruka njia na dini tumeshika..mahari hawafikishi million aisee..Ni unyonyaji huo!
 
Mkuu na sisi wanaume tumezidi kujionyesha tunazo "surplus" ndio maana hawa wadada wana-connect dot na kutukomoa.

Hivi majuzi nilitoka kumlipia mahari rafiki yangu,majina nayatunza kwa wote wawili.Nilienda kama mshenga mkoa wa klm huko maeneo ya machame kuna kasehemu sipajui vizuri lakini tulifika kwenye kahospitali nilikashika jina,kameandikwa NSHARA COMMUNITY MEDICAL CENTER,ndiyo mahali ambapo tulifika tukachepuka kwenye kanjia kakushukia huko chini.Njia haikuwa nzuri sana na hata hivyo tulikuwa na convoy kubwa magari 8, kadri jamaa alivyoweza kushawishi marafiki wengi wamsindikize.ikabidi tupaki vyombo vyetu vya usafiri kama mita 30 kutoka hapo ukweni.

Tulikaribishwa kwa taratibu zao wenyewe huko,japo wengi tulikuwa wapendwa hatutumii kata wala yale maandishi manne "Beer" hayo tuliwaachia wenyeji wetulakini kwenye nyama choma tulihusika sana,kiasi cha kuridhika. Shughuli ilipamba moto pale tulipoomba watutajie mahari, tulipe kiasi Fulani halafu kwakuwa tulikuwa na haraka ya kufunga ndoa tukataka pia kuomba watupe tarehe ya kuja kuoa,maana hilo jambo walisha lizungumza waoanaji wakakubaliana,mahari itajwe ilipwe kiasi kikubwa ibaki kidogo na. mwezi wa ndoa utajwe hata kama ni miezi mitatu au minne ijayo.

Wazazi wakaenda chemba na mshenga wao wakaja na jibu la mahari wanataka milioni sita na nusu,hapo uondoe makorokoro mengine ambayo yanagharimu karibu milioni tatu na nusu.lakini hayo yaletwe interms of items not money tukishindwa tuwape cash wakafanye manunuzi wenyewe. Mimi huwa ni bingwa wa kubageni mahari na most of my friend wananitumia kama mshenga na pia msimamizi wao lakini. to my best siku ile waligoma kushusha kabisa, wakesam labda yale makorokoro lakini mahari yao haishuki. Wenyewe tulijipanga na mil.2.5,halafu yule dada alikuwa anatembea na bosi wake yule kijana.aliyeondolewa kwa kashfa ofisin jijini.mimi nilimshauri rafiki yangu amuoe kwakuwa ameokoka atabadilika.

Kumbe yeye ndiye aliyechonga deal wasishushe mahari kwakuwa mpenz wake alikopa 10m za ujenz wa nyumba kwenye kiwanja chake huko Goba.Jamaa alinilaumu kwa nini nimemshawishi aoe mtu ambae anatoa siri zao kwa wazazi ili wamkomoe,wakati maisha watapata tabu wote wawili.nilimtia moyo turudi tukajipange.Mmoja kati ya wasindikizaji akaingilia na kusema hiyo ni bei ya kiwanja kikubwa sana Bonyokwa na Kinyerezi kama mmekataa tunarudi mjini tukajipange na Ndoa mpaka leo ipo hatiani.

Mchumba yaani yule mdada alikuwa akiona magari anayobadilisha rafiki yetu na wazazi waliwahi kumtembelea mjini wakapelekwa Jangwani Sea breez.mlimani city.wakarudishwa na laki 5 kila mmoja.na kale kamkopo kalimponza.
Tuache kuonyesha uwezo mkubwa kwa hao wachumba zetu wakina kaka ambao bado hamjaoa na hata baada kwa wake zetu ishini maisha ya kawaida.
Dah! Hapa ndio nawachokaga Wamachame!!!
 
wanawake wa miaka hii ukigusia neno bikra wanakimbilia kusema kwaani wewe ni bikra wanasahau kwamba MUNGU ana makusudi yake na hata vitabu vya Mungu havija msema mwanaume bali mwanamke
 
duh bajeti ya harusi kabisa unamaliza kila kitu........ jamaa atafute mke mwingine tu hiyo maharu kubwa mnoo
 
Siku zote huwa nasema, sioni point ya kulipishana mahari siku hizi.
 
Sasa hapo kuna ndoa tena kweli?

Kaka akome kujionyesha japo kwa upande mwingine nae mke mtarajiwa ana makosa yake
 
Back
Top Bottom