Zielewe mbinu mpya za kuchunwa siku hizi

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,033
15,616
KIDUMU JF

Hii mbinu sijui walijifunza wapi, hawa mabinti ni wanaakili mno hii mbinu ni very tactical ukija kushtuka unakuta manyoya.

Mfano umemtongoza mwanamke anafanya kazi benk au ana duka ukidhani anaweza kukidhi mahitaji yake hivyo wewe utachangia kidogo unajidanganya.

Atakununulia nguo atajifanya analipia bili na mengine atakutoa out hadi uone huyu ndo wife material kumbe anakupigia hesabu umekula sh ngapi ili azidishe mara 100 siku akikulipua ni kuanzia laki5 hadi milion eti afungue biashara ukimpa ujue ndo umelipa deni na riba na mrejesho.

Kama nakosea niambieni ila msinitusi
 
Mkuu,hiyo ni ya kitambo sana,labda wewe ndio mgeni nayo. Hiyo hutumika sana na machangu waliokwenda umri wakijifanya wametulia na wana kazi zinazoeleweka. Marioo wengi wameshaumizwa kwa sarakasi hizo.
 
Back
Top Bottom