Ameolewa na bado ananitamani, sijui kwasababu gani

monaco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,184
Reaction score
1,780
Wadau habari,

Kuna kitu huwa kinanishangaza labda tunaweza kupata michango mbali mbali.Hivi unakuta mtu ulikuwa unamtongoza dada fulani muda mrefu tu, akakutolea nje,then ukaja kuoa nae akaolewa.

Baada ya miaka kadhaa mnakuja kukutana kama majirani town sehemu za kazi,then inakuwaje anakuwa anakutamani sana kwasababu dalili zote unaziona na hata kuwa na bidii ya kumjua mke wako?Wakati na yeye ana mume wake?

Je anataka kuharibu ndoa yako?Au anaumia kuwa alichokiacha mwenzie anakifaidi?Au ni nini zaidi?Au anataka akupe mzigo wakati alikunyima kabla.
Nimekutana na hili mada nimeona lets share our ideas.
 
Wadau habari,
kuna kitu huwa kinanishangaza....labda tunaweza kupata michango mbali mbali...
Hivi unakuta mtu ulikuwa unamtongoza Dada fulani....muda Mrefu tuu,akakutolea nje,then ukaja Kuoa nae akaolewa,Baada ya miaka kadhaa mnakuja kukutana kama majirani Town sehemu za Kazi,then inakuwaje anakuwa anakutamani sana...kwasababu Dalili zote unaziona...na hata kuwa na Bidii ya Kumjua Mke wako?wakati na yeye ana mume wake?
je anataka kuharibu ndoa yako?Au anaumia kuwa alichokiacha mwenzie anakifaidi?Au ni nini Zaidi?Au anataka akupe mzigo wakati alikunyima kabla...
Nimekutana na hili Mada nimeona lets share our ideas.
Huyo atakuwa amekuta yaliyomo kwenye ndoa yake hayamo.

Ni mtu aliyeishi kwa daydreaming mno, baada ya kuingia huko kwenye ndoa, hakujifunza kosa lake kuwa ndoa ni zaidi ya gauni zuri jeupe siku ya harusi na kuitwa baby asubuhi mpaka jioni, badala yake anaendelea kutaka kukidhi ile "day dream yake" na kakuona wewe unafaa kuikidhi.

Wa hivi huwa wazuri sana kuwafanya mchepuko japo it is very risky
 
Mkuu nami niliwaza hivi hivi....japo it is very "Risky"
 
Mi cku nikimkuta mtu na mke wangu nalawiti wote sibagui sichagui. Duduu au kiharage kinasimamaje sasa kwa mke/mme wa mtu?? Kuna kipindi maisha yaliyumba sana mke wa mtu tajiri sana akaniaproach na kunihakikishia atanipa kila kitu lkn Mungu ni shahidi sikushawishika hata nukta, nikamuambia apite hivi mpaka leo hii huwa aamini na amekua rafiki yangu mkubwa sana ila urafiki wenye mipaka.
 
Endelea kuwa rafiki na wake za watu.

Siku ukizushiwa skendo kuwa unamla na mmewe akaamua kulipiza kisasi, utajua upana wa kauli ya "mke wa mtu ni sumu" kwa vitendo
 
Chief ina maana wewe hauna watu ambao unafanya nao bizness wa jinsia ya kike ambao wapo kwenye ndoa?
 
Mi cku nikimkuta mtu na mke wangu nalawiti wote sibagui sichagui. Duduu au kiharage kinasimamaje sasa kwa mke/mme wa mtu?? Kuna kipindi maisha yaliyumba sana mke wa mtu tajiri sana akaniaproach na kunihakikishia atanipa kila kitu lkn Mungu ni shahidi sikushawishika hata nukta, nikamuambia apite hivi mpaka leo hii huwa aamini na amekua rafiki yangu mkubwa sana ila urafiki wenye mipaka.
Utaozea Jela mjinga wewe, mke wako akikusaliti kaa chini jihoji peke yako ni wapi ulikosea siyo kuwaza visasi, utageuziwa kibao uone dunia chungu..
 
Kakuambia nani kila mwanamke anayecheat kosa huwa linakua ni la mumewe? Halafu kwa nini unanitukana?
 
kwanza inaonekana jogoo wako hapandi mtungi ndo mana unajishtukia...
watu wenye mapunguvu kama nyie huwa ndo wanakuwa kila saa wanawaza wake zao wana wasaliti
 
Hata ukimya ni jibu pia.
 
Sijui sababu ni kitu gani,mwanamke umesha pata mume hutuliii kwa nini?
 
Wadau habari,

Kuna kitu huwa kinanishangaza labda tunaweza kupata michango mbali mbali.Hivi unakuta mtu ulikuwa unamtongoza dada fulani muda mrefu tu, akakutolea nje,then ukaja kuoa nae akaolewa.

Baada ya miaka kadhaa mnakuja kukutana kama majirani town sehemu za kazi,then inakuwaje anakuwa anakutamani sana kwasababu dalili zote unaziona na hata kuwa na bidii ya kumjua mke wako?Wakati na yeye ana mume wake?

Je anataka kuharibu ndoa yako?Au anaumia kuwa alichokiacha mwenzie anakifaidi?Au ni nini zaidi?Au anataka akupe mzigo wakati alikunyima kabla.
Nimekutana na hili mada nimeona lets share our ideas.
Hapa napo nitajifunza mengi tu!
 
Utaozea Jela mjinga wewe, mke wako akikusaliti kaa chini jihoji peke yako ni wapi ulikosea siyo kuwaza visasi, utageuziwa kibao uone dunia chungu..
Ukisalitiwa potezea endelea na maisha kwani akisaliti inapungua utamu au?
 
Back
Top Bottom