Ushauri: Mke wangu anapenda niwe nae muda wote

kk age

Member
Mar 26, 2016
95
26
Jamani mwezenu nina mke wangu lakini yeye anapenda niwe nae masaa yote,pia yeye anapenda tufanye mapenzi kila SAA.

Nifanyeje ili kumridhisha hayo yote?

Msaada wenu tafadhali.
 
Kuna kitu kinaitwa sex toys.
She has a high sex drive. Hana tatizo.

Je ungepata ambae hataki kabisa?
 
Jamani mwezenu nina mke wangu lakini yeye anapenda niwe nae masaa yote,pia yeye anapenda tufanye mapenzi kila SAA.

Nifanyeje ili kumridhisha hayo yote?

Msaada wenu tafadhali.
huyo ni jipu mtumbue!!..
Mapenz sawa yafanyike lakin shughuli za kimaendeleo pia ziweke kipaumbele...
 
Weka shamba boy.. ukitoka mwenzio anaingia.. hutakaa sikia akilalamika kuwa na wewe muda wote...
 
Jamani mwezenu nina mke wangu lakini yeye anapenda niwe nae masaa yote,pia yeye anapenda tufanye mapenzi kila SAA.

Nifanyeje ili kumridhisha hayo yote?

Msaada wenu tafadhali.
una mda nae gan kwe ndoa? kwa jinc navyofaham hilo ni swala la muda tu atapunguza so kwa muda huu mpe dozi anazotaka mkuu piga kazi
 
Kama na wewe ulizaliwa ukakuta kwenye account yako uliingiziwa mgao wa pesa mingi za babu yako bado na za baba ako uliingiziwa kwenye account laleni sana...Na endeleeni kuvuana nguo 24/7...Maana kama umetoka familia hizi za lazima ufanye kazi ndo mle haiwezekani kuwa na mpenzi wako kila wakati na hata kufanya mapenzi kuna kiasi kitu chochote bila kiasi kinaua..
 
Wenzio wanalilia bahati kama hii...yakuliliwa na kung'ang'aniwa japo isiwe kupita kiasi,wewe unalalamika??! Dah...Nakupa pole
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom