Naomba ushauri, nimkopeshe hela huyu binti au niache?

47pro

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
1,204
332
Am resident of Nairobi, so I met this girl like a week ago na ashaanza kuniita 'sweetheart' and asking if I can loan her Kshs. 7000/= her rent is overdue....

Nimkopeshe ama afungiwe nyumba?
 
Am resident of Nairobi, so I met this girl like a week ago na ashaanza kuniita 'sweetheart' and asking if I can loan her Kshs. 7000/= her rent is overdue....

Nimkopeshe ama afungiwe nyumba?
Mpe tu hizo hela hakuna kukopa hapo. Ila tu mara ya pili jiandae atakwambia ana kopa tena. Sasa sijui umejipangaje?
 
Patia tu hiyo kiasi sio vibaya manzi ni ya kusaidiwa tu siku zote
 
47pro si demu wewe? mbona ume act a gentlemen
Ndo ukiambiwa Chinese arithmetics are hard maths kubali.
Who told you am female? Au Ile female blendin style when I was collecting my data for my paper ilikutia wazimu?
Chanuka mzazi, am f*ckng male.
 
Am resident of Nairobi, so I met this girl like a week ago na ashaanza kuniita 'sweetheart' and asking if I can loan her Kshs. 7000/= her rent is overdue....

Nimkopeshe ama afungiwe nyumba?
Wewe mpe tu, kwani haiwezi kukurudishia ila jitahidi kabla hujampa umgegede iwe mhongo
 
Sass wewe 47pro hili nalo la kuja kutaka ushauri humu jamvini?dah,kazi kweli ase.
 
hiyo rent imekuja kama chafya?? msingekutana hyo last week angelipaje akwendree ila km unajiskia kuhonga mpege
 
Back
Top Bottom