Earthworker
Member
- Jul 15, 2011
- 83
- 30
Sio kila mwanamke anayeshinda kanisani atakuwa na maadili mema au ndo mke mwema! Wengine ni waigizaji wanashinda kanisani ili wasipate kutengwa na jamii zinazowazunguka!
Tena unaweza kukuta mtoto wa mzee wa kanisa ndo hafai afadhali ya mtoto wa mtoto wa mpika pombe za kienyeji maana ugumu wa maisha ndo umefanya hivyo! Mke aliyebora anapatikana popote! Ila nikumuomba Mungu wako aliyemwema! Akupatie kilichochema!
NILIJUA BINTI KASHIKA DINI, KUMBE TAKSI BUBU MCHANA ANAVAA NJANO USIKU WEKA NYEUPE!