Msaada wa hii Mimba, Itakuwa yangu kweli?

Msaada wa hii Mimba, Itakuwa yangu kweli?

UGWADU

Senior Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
105
Reaction score
80
Mpenzi wangu alipaswa kuona siku zake tarehe 5 mwez 3. Mwezi wote wa pili uliopita hatukuwahi kukutana ila mwezi wa tatu full kugegeduana.

Sasa anahisi amejaa, hapa najiuliza ni yangu au yake au ndo nikubali kua kwenye lile kundi la 40% ambao DNA inawahusu.

Msaada tutani
 
Mkuu ukipiga mbichi uwe tayari kwa mimba
 
Hiyo yako, si umepiga chepe chepe....!???
 
Mimba ya mama mwanaume unapewa taarifa tu
mtoto ni wa mama baba unapewa tu
hata hiyo DNA inahitaji DNA yake
 
Kama mwez mmoja nyuma hukupiga syo yako. But we tulia tu sahiv asije akaitoa.
 
Back
Top Bottom