Hata kama kimfaacho mtu chake ila kwa hili mabinti hapana!!

Earthworker

Member
Jul 15, 2011
83
30
Sijajua kwanini, au labda ni kutokana na mfumo wa uraji kubadilika au tabia ya kutopenda kujifanyia mazoezi! Maana kwa sasa imekuwa kawaida unakuta mdada kweli kajaaliwa tako tako ila anaona halitoshi anaamua kubalance uzito anaruhusu na kitambi!
Kwa upande wangu naona vitambi kwa mabinti vinaongezeka!

FANYENI MAZOEZI, NA MPUNGUZE VYAKULA BAADHI VINAVYOWAJAZA MATUMBO!

NI KWELI TUNAPENDA FIGA ZA KIBANTU ILA MSIJISAHAU MIILI IKAHARIBIKA NA KUPOTEZA MVUTO!!
 
Back
Top Bottom