Kwa wenye tatizo la kufika kileleni mapema utafuteni huu mzizi

Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
10,658
11,604
Sio siri tena, hivi sasa kati ya matatizo yanayo tusumbua wanaume wengi ni la nguvu za kiume.

Tunapo lizungumzia neno hili kila mtu anakua na maana yake lkn yenye kulenga kuto kumridhisha mpenzi wake.

Wapo wenye tatizo la kupiga bao moja tu.

Wapo wenye tatizo la kuwahi kukojoa mapema.

Wapo wengine ambao paka wao hakamati panya kabisaa.

Dawa hii inamhusu mwenye tatizo la kuwahi kukojoa mapema, hao wengine siwezi kuongopa sijui niwasaidie vipi.

Dawa hii ni ya unga, itokanayo na kusaga mzizi wa MUNDENDE (Kwa lugha ya khimakua)

Hii dawa nilipewa na mganga wa khimakua baada ya kupendezewa na ucheshi wangu kwake.

MATUMIZI: Paka mate Kichwa cha dushelele yako

Chota kiasi kidogo sana cha unga wa MUNDENDE kisha nyunyizia kwenye kichwa cha dushelele iliyo lowa mate.

Funga Kichwa cha dushelele yako iliyo lowa mchanganyiko wa mate na unga wa MUNDENDE kwa mfuko laini.

Subiri lisaa limoja baada ya kupakaa dawa yako.

Baada ya lisaa limoja kupita utaaza kusikia kuchonyota kwambaali.
Hapo utafungungua ule mfuko na kuenda kuoga tayari kwa mechi.

KUMBUKA: Kama paka wako hakamati panya kabisa hii dawa haikusaidii (haifanyi dushelele isimame)

Kama unatatizo la kupiga bao moja hiidawa haita kusaidia (haitii nyege)

Kama unatatizo la kukojoa haraka hii ndio mkombozi wako (inakufanya usikojoe haraka nakukufanya ufurahie tendo bila kuchoka)

ONYO Usitumie dawa hii kama huna uhakika wa kubandua, kwani dawa hii pindi ikianza kuchonyota haipoi mpaka ubandue.

HITIMISHO: Mimi sio mganga wa kienyeji wala sina elimu yoyote ya Afya.
Nimeileta hapa jukwaani baada ya kusoma Uzi wa mdau mmoja unaoelezea matumizi ya Dawa za kuongeza nguvu za kiume maarufu kama VIGRA.

Ndipo ikanisuma kuileta dawa hii ya Asili isiyo kua na kemikali wala madhara kwa mtumiaji.

KITOABU.
 
Duuh ukiwa na shida utaenda hadi kwa wachawi,
Kumbe kuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa ukanilifu ktk viungo, ckuwahi kufikiria kuwa kuna watu wanahangaika usiku na mchana kwa matatizo haya.
 
kwa hisani ya watu wa kuwai kukojoa mapema weka mbali na watoto aise
 
Hahahhahahaa.... Umenichekesha saana mkuu.. Kitaani wahuni wanita kipuluu na wanauza elfu 2 tu... Nimecheka sana maana my blood brother alipiga pumbu siku moja maninaa mpaka akatoka malenge lenge katika mboo.. Hahahahah.. Alipiga game kuanzia saa 12 alfajir mpaka saa 3 asubuhi pia hata huo mchepuko wake ulikubuhu na ulitoka michubuko pia.

Angalizo wadau msipigie sifa kwa madame zenu hii ni kwa malaya na wale mabinti wenye nyodo (but it's not fair enough )
 
Kina dada wanaingia tu kwenye huu uzi wanacheeeka jinsi watu wanavyohangaika ili kupata heshima tu..Na ndiyo maana dada wengi siku hizi hata kama hajaridhika anakuambia..Yaan katika wanaume niliyokutana nao wewe umenitosheleza kuliko wote...Mwanaume unacheeeka ile ukigeuka upande ana kung'ong'a na wewe unatoka kivua mbele kwamba..si amesema kati ya wote mi ndo kidume kumbe na mwenzako kesho anaambiwa hivyo hivyo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom