Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,053
- 40,031
Habari za jioni mabibi na mabwana,
Namba moja wangu yupo, ananitazama, anatabasamu.
Ameridhika na vile ninavoishi. Wote tunafurahiana. Tunaishi maisha ya mzaha na raha siku zinasonga.
Namba moja wangu, nakupa pongezo zote kwa kuniona mie namba moja wako.
Najua yuko namba mbili na namba tatu wako ila mie kuwa namba moja wako ni bonge ya swing in the air.... (najua kunawatakaosema anakudanganya wewe ni namba 100 mmechelewa.... teh) vivyo hivyo nami nina namba mbili na tatu, ila hao hawatuzuii sisi tuliopeana namba moja kula raha za maisha haya.
Niko nawe tangu jana bado niko nawe hadi kesho................. (najua kunawatakao sema kesho kutwa atakuacha au juzi alikwa na mimi)
Wale wanaosoma katikati ya mistari wataelewa kuwa namba moja na mimi ni pete na kidole.
Ukipita kusoma hapa namba moja wangu, just give me a wink and I will give you a kiss.........
Love you to infinity my number one.
Mahaba mahabani, bata batani.
Kasindeeeeeey.................. eeheeee..........
Nimemaliza!! teh!
Hapa enzi za ujana wako...... jiugonjwa la Kasie ....lips hizo namba moja ake. .... hapo denda mia mia 24/7...... aaah acha tuu heheheeii
Hapa ndo twala ujana maana waliotuletea herufi na tarakimu walisema maisha huanza kwenye maika 40, tuendelee. Namba mojaaaaaaaaa...... upo juuuuu. Rahaje kula pension aka fao la uzeeni hehehee
I know you are cute and handsome, (mengine in the bracket) ila nimekuweka hapa ili watu waache kukunanga, haya ngoja waendelee kuzungumza sie tumemaliza.
Namba moja wangu......mmuah!!!