msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
Katika hali inayonisikitisha shemeji yangu kamaliza economics chuo flan, sasa hapa kazini kwangu kuna post ambayo mimi naweza kufanya makeke nimuingize kwenye post hiyo kwa kuwa mimi ndio mkuu wa idara na nimeambiwa nichague mtu ninaye mtaka.
Tatizo hapa ofisini nina nyumba ndogo yangu tunakaa vizuri kabisa, sasa najua nikimleta shemeji hapa habari zote zitafika kwa dada yake nyumbani yaani ataharibu timing zangu zote, kama bwai na iwe mbwai atafute kazi sehemu nyingine huko.
Au mnasemaje wadau??