Ilikuwa jana tulikuwa tumeenda kazini wote amebaki yeye mwanangu mdogo kama mwaka hivi.According to huyo msichana mtoto alikuwa amelala akamaliza kitandani kwake na yeye akaenda chumbani kwake kulala kuhamaki unashangaa mtu yuko juu yake alijaribu kupiga kelele ila alimziba mdomo akamzidi nguvu akamfanyia hicho kitendo.
Kwa kweli imeniuma sana amelala analia tu siku nzima.Huyu shemeji yangu na mume wangu ni mtoto wa mamake mdogo alifeli form four akamchukua arisiti.Msichana anataka akapime alafu aondoke aende kwao.
Naombeni ushauri nifanyeje.