Ipo siku utakuja kukutana na mtu ambae atakufanya usahau maumivu yote ya mapenzi ambayo umepata kukumbana nayo, ambae atakufanya uwe na furaha Ambae atakuja na kukupenda pasi na kikomo licha ya...
HAYA NI MABUSU YANGU DAZENI
Mabusu yangu dazeni, nayatuma kwako moyo!
Ulipo hapo mjini, natuma bila uchoyo,
Pokea wangu wa ndani, ni dazeni nikupayo,
Kwa hili Busu la kwanza, beti nazifungulia...
Habari wanaJamiiForum, natumai nyie ni wazima sana.
Kwa wale wanaume wa ukweli leo nawaasa waache kufanya mambo haya yafuatayo;
1.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na marafiki wa mke wake,au...
This was simply just too beautiful not to share.
This series of photos is telling the suffering of a poor
bird shocked with his partner's fatal injury.
Here his wife is injured and the...
The Other Woman
After 21 years of marriage, I discovered a new way of keeping alive the spark of love. A little while ago I had started to go out with another woman. It was really my wife's...
A blind boy sat on the steps of a building with a hat by his feet. He held up a sign which said: 'I am blind, please help.' There were only a few coins in the hat.
A man was walking by. He...
A tear comes to mind, when I think of you
And remember the time when our friendship was new.
A gentle smile centered on your face,
And I knew that then was the time and place,
To kiss you, I...
Kujamiana ni tendo lililobarikiwa ndani ya ndoa lakini upo utata mkubwa wa mjamiaane mara ngapi kwa wiki au mwezi.
Wako wanaoona hakuna formula ila mjisikiiapo lakini pia Tupo tuonapo siyo suala...
Na uimeze nzima nzima.
............ hivii wewe.... wewe hapo ndio na unanijua wewe hapo...... ulichokifanya ni uba sha.
Ruhusu walau akili yako kwa wakati mmoja isambaze chakula kiwafae wahitaji...
Habari humu MMU,
Miezi michache iliyopita nilileta thread nikiomba ushauri nifanyeje ili kuliepuka tatizo, namshukuru MUNGU nililimaliza salama binti alikuja kwa mama yangu ambako ndo...
Heshima kwenu wakuu!
Kumekuwa na mijadala anuai inayogusia suala la FURAHA, AMANI na UIMARA wa ndoa za wadau. Huu ni mjadala muhimu sana kwani ndoa ikiwa imekidhi vigezo hivi basi inazaa matunda...
Katika pitapita yangu nimekutana na watoto wadogo ambao mama zao ni waTZ but baba wachina.
Hii ni dhahiri kuwa huko mbeleni tutajakuwa na machotara wengi wa kichina kutokana na idadi ya wachina...
Imekaaje hii mtu ameoa wake watatu lakin bado analala kwa mchepuko huku akijua kuwa wake zake hawatafahamu kwasababu mwenye zamu atadhan labda amelala kwa mke mwingine na cku iliyo fuata akaenda...
Mi ni me,nipo kigoma kikazi,natafuta marafiki wa kike tu ambao nitafuta nabadilishana nao mawazo,na mungu akipenda nahusiano,umri wowote,elimu yoyote,kazi yoyote ana watoto au hana.huwezi jua...
Sisi tuliooa wanawake wa bara waliosoma kazi tunayo..
Unajua wanawake wa dizaini hiyo hata wakiolewa tendo la ndoa wanalichukulia poa sana,sasa kuna wale wanaonyimwa unyumba kwa wiki,au miezi...
Bwana asifiwe!
Leo nimeona niilete hii habari iliyonishangaza kama si kustaajabisha ya dada jirani yangu.Huyu ana mume na mmewe ni mpole na ni muajiriwa sirikalini,
jamaa kakamatika yani akirudi...
miaka ya hivi karibuni kumekuwa na vuguvugu kubwa sana la kutaka mapenzi ya jinsia moja especially kwa wanaume/wanaume yatambuliwe kisheria,na jambo hili limekuwa likivaliwa njuga na nchi za ulaya...