Subira yavuta heri, ipo siku utampata mtu sahihi

belionea

JF-Expert Member
Mar 17, 2014
1,052
914
Ipo siku utakuja kukutana na mtu ambae atakufanya usahau maumivu yote ya mapenzi ambayo umepata kukumbana nayo, ambae atakufanya uwe na furaha Ambae atakuja na kukupenda pasi na kikomo licha ya hali ulionayo. Utakuja kumpata ambae atajivunia kuwa na wewe na kuwa teyari katika mahusiano na wewe Ambae atakubali kubeba madhaifu yako.

Ambae atakuwa na hofu ya kukupoteza na ambae Hatatumia past yake kukuadhibu wewe! Na ambae atakuwa kila kitu kwako. Najua utaona kama uongo tu na kujifariji lakini nakuomba niamini siku moja utampata mtu huyo muhimu kwako ambae atakuwa wako peke yako.

MUNGU tayari anae huyo mtu kwa ajili yako na anasubiri wakati muafaka akupe mtu huyo.Acha kulia lia songa mbele. Kuendelea kulia na kulazimisha maji kupanda mlima ni kujipotezea muda wako wa kuwa na huyo mtu mtarajiwa wako. Kuwa tayari kumkumbatia huyo mtu atakapofika!Umeanguka katika mahusiano.

Inuka kung'uta vumbi na songa mbele kukunjwa jamvi sio mwisho wa maongezi.Subira huvuta kheri
 
Choli!! Ndi, ndi ndi ndi×2
Ipo siku utakuja kukutana na mtu ambae atakufanya usahau maumivu yote ya mapenzi ambayo umepata kukumbana nayo, Ambae atakufanya uwe na furaha Ambae atakuja na kukupenda pasi na kikomo licha ya hali ulionayo. Utakuja kumpata ambae atajivunia kuwa na wewe na kuwa teyari katika mahusiano na wewe Ambae atakubali kubeba madhaifu yako.

Ambae atakuwa na hofu ya kukupoteza na ambae Hatatumia past yake kukuadhibu wewe ! Na ambae atakuwa kila kitu kwako. Najua utaona km uongo tu na kujifariji lakinI Nakuomba Niamini siku moja utampata mtu huyo muhimu kwako Ambae atakuwa wako peke yako.

Mungu teyari anae huyo mtu kwa ajili yako na anasubiri wakati muafaka akupe mtu huyo .Acha kulia lia songa mbele. Kuendelea kulia na kulazimisha maji kupanda mlima ni kujipotezea muda wako wa kuwa na huyo mtu mtarajiwa wako. Kuwa teyari kumkumbatia huyo mtu atakapofika ! Umeanguka katika mahusiano ,

Inuka kung'uta vumbi na songa mbele Kukunjwa jamvi sio mwisho wa maongezi.. Subira huvuta kherii
 
Meseji ya kufariji sana hiyo, na imenena vema. Maana wengi sana tumeumizwa, ila hatusemi tu, maana kila nikiingia mitandaoni, naona kila siku kesi zinazofanana fanana, ila za wengine tofauti.

Tunavumilia mengi sana wanadamu sisi, na mioyo yetu wengi inavuja damu, ila daah, wakati mwengine pia ukimya unatupa haueni.

Kinachonisikitisha ni, mtu anaweza toa duku duku lake, akaishiwa kutukanwa na kubezwa, kwa kweli inakera.

Barikiwa mleta post, hakika Mungu, atatujalia tukimuomba bila kuchoka.

Ahsante!
 
Baby, sitaki kutazama nyuma tena.
mmh, maumivu nilisha yaona
Wengi walinipotezea muda, hakuna nilichokipata
Kuna mudaa namwomba mungu angekuleta mapemaa
Ila bado sio mbaya wewe ndo unaejua maumivu yangu X2

hongera zake huyu anayeimbiwa yote haya lol!!!
 
Baby, sitaki kutazama nyuma tena.
mmh, maumivu nilisha yaona
Wengi walinipotezea muda, hakuna nilichokipata
Kuna mudaa namwomba mungu angekuleta mapemaa
Ila bado sio mbaya wewe ndo unaejua maumivu yangu X2

Oooh, asante mchepuko wangu, sintakuangusha.

Nitakusahaulisha machungu yote, thanks.
 
Back
Top Bottom