Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,181
Kujamiana ni tendo lililobarikiwa ndani ya ndoa lakini upo utata mkubwa wa mjamiaane mara ngapi kwa wiki au mwezi.
Wako wanaoona hakuna formula ila mjisikiiapo lakini pia Tupo tuonapo siyo suala la kujisikia tu bali ni kujinyima pia
Mara nyingi hupunguza ubora na thamani ya tendo lenyewe na mara chache mno huwaweka mbali kihisia wanandoa.
Je uonavyo yafaa iwe mara ngapi na kwa nini?
Karibu