mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 19,996
- 49,101
Sisi tuliooa wanawake wa bara waliosoma kazi tunayo..
Unajua wanawake wa dizaini hiyo hata wakiolewa tendo la ndoa wanalichukulia poa sana,sasa kuna wale wanaonyimwa unyumba kwa wiki,au miezi kadhaa. Nilikuwa muhanga wa watu wanaobaniwa unyumba na mke wangu kwa miaka mingi. Kuna siku hiyo nikaja na wine yangu (sio dompo wala St Annie)nikachanganyia na pombe fulani bonge la cocktail hiyo lazima uzime tu. Sikuwa nalengo baya ila nikamkaribisha akapiga glass moja tu ule utamu utamu wa wine ukamzingua akaomba tena na tena.
Kilichofuata hapo ni mke wangu kuzima gari kabisa na ilikuwa weekend nikamkokota kwenda kujilia vyangu chumbani kiulaiiinii
Kumbuka huyo ni mke wa ndoa niliyemlipia mahari sio hawara wala mchepuko.
Kesho yake akaamka akaniambia sasa ndio tumefanya nini nikajiuliza kimoyomoyo sijui nimnase kofi, Nikakumbuka kuwa kuna sheria ya makosa ya kujamiiana ya mwaka 1998 inakataza mwanamme kumbaka mkewe,nikamwambia Mungu bora siku ya mwisho unichome moto kwa kumpa talaka mke wangu lakini sio kuchomwa moto eti kwa kosa la kumbaka mke wangu. Fasta nikaanza mchakato wa talaka hapa tunasubiri hukumu ya mahakama juu ya hiyo talaka