Katika pitapita yangu nimekutana na watoto wadogo ambao mama zao ni waTZ but baba wachina.
Hii ni dhahiri kuwa huko mbeleni tutajakuwa na machotara wengi wa kichina kutokana na idadi ya wachina kuongezeka nchini.
Nawaombea kwa Mungu hawa machotara wa kichina wawe na uwezo wa kufikiri kama baba zao wa bara Asia kusudi technologia ikue nchini. Mwisho wa siku tusikie kuwa mabasi ya Yutong yanatengenezwa Tanzania, kuanzia engine hadi bodi.