Ukwelibusara
Member
- Apr 8, 2016
- 30
- 7
Mi ni me,nipo kigoma kikazi,natafuta marafiki wa kike tu ambao nitafuta nabadilishana nao mawazo,na mungu akipenda nahusiano,umri wowote,elimu yoyote,kazi yoyote ana watoto au hana.huwezi jua labda we umepangiwa kumpata wakwako humu,hvyo tusikate tamaa wala kukatishwa tamaa na mtu.karibu kwa pm.