Umeoa wake watatu bado unachepuka

Umeoa wake watatu bado unachepuka

Archana

Member
Joined
May 8, 2016
Posts
69
Reaction score
26
Imekaaje hii mtu ameoa wake watatu lakin bado analala kwa mchepuko huku akijua kuwa wake zake hawatafahamu kwasababu mwenye zamu atadhan labda amelala kwa mke mwingine na cku iliyo fuata akaenda kuwauliza wenzie kila mmoja akashangaa kuwa mume wao hakulala kwa nyumba zake bali amechepuka hii ni hatar
 
Mnaachiana zamu mume mmoja? umetumia akili zako zote ukakosa wa kwako peke yako? Seriously?
Mkuu hapa unagusa IMANI za watu, kuna ambao DINI inaruhusu. Hayo mengine ni matwaka binafsi na huyo mwenye kifua na muda wa kuzunguka nyumba nne. Yataka moyo nayo...
 
Imekaaje hii mtu ameoa wake watatu lakin bado analala kwa mchepuko huku akijua kuwa wake zake hawatafahamu kwasababu mwenye zamu atadhan labda amelala kwa mke mwingine na cku iliyo fuata akaenda kuwauliza wenzie kila mmoja akashangaa kuwa mume wao hakulala kwa nyumba zake bali amechepuka hii ni hatar
Mkuu kwani kutolala nyumbani ni lazima mtu awe amechepuka?
 
Back
Top Bottom