TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,014
- 22,137
Kila ugomvi kidogo tu mbio kwa mashoga zake kuni expose.
Nashindwa kabisa kumuelewa huyu binti.
Nashindwa kabisa kumuelewa huyu binti.
X
Dawa ni kuwaomba papuchi hao mashoga zake afu unakula mzigo then unaachana nao
mmoja ni mke wa MTU na yuko Kwenye ndoa. mwingine ndoa yake ilisha mshinda. Kibaya zaidi ufahamu wao ni mdogo sana
Nikajua ni hawa mashoga OG! Nilitaka kukuambia hawana madhara,si unajua ni mijoka isiyouma?
Ungeweza ungeanza watongoza 'hao wanamshikia akili'
itasaidia kumuonesha walivyo
Hahahaha kuna mmoja huyo na Mimi akiingia anga zangu lazima nimsimamie kucha.
duh ni tabia mbaya ya baadhi ya mabinti ambayo mimi huwa naiitaga ya kipuuzi kwa sababu lazima atakuwa bias katika kuwaeleza mashoga zake na hata ushauri utakao toka upo bias pia ni kosa kubwa sana....
lakini cha kufanya ni kumwambia huyo mpenzi wako achague wewe au mashoga zake .. na pia mwambie ni marufuku kumuona na hao marafiki zake/... na akiendelea uwamuzi ni kumwacha aendelee na marafiki zake....
wanawake wa chache sana wanao weza toa ushuri wa ukweli kuhusu mahusiano wengi wao ni wanafki
haya.....Heeee...taratibu bhas wameskia
Simamia tuu kucha hadi uanguke....
@horseshoe sumaku yawarembo upo?