Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Na uimeze nzima nzima.
............ hivii wewe.... wewe hapo ndio na unanijua wewe hapo...... ulichokifanya ni uba sha.
Ruhusu walau akili yako kwa wakati mmoja isambaze chakula kiwafae wahitaji sio usambaze uvundo uwachefue watu.
Kwa bandiko hili, yeyote mwenye swali au kutaka kujua uhalisia wake peleka swali lako meza kuu litajibiwa sio ung'atwe sikio kama basha kwa habari uvundo.
Najua kimya ni jibu zuri na la busara - wenyewe wanasema silence kills all ila saa ingine silence inatafsiri kuwa kilichozungumzwa ni uhalisia.
Pia najua huu msemo una maana kubwa sana.... KIKULACHO KI NGUONI MWAKO.....
Endelea tuu na umajenuni wako hujui unajitafuna mwenyewe.
Ndoo robo Kibwengo ndo wewe.
Kasie ni Popo.
NB: Wafanyakazi wa ofisi ya zamani ya Kasie na wewe..........Inawahusu hii..... mmeze kutwa mara tatu isipowatosha mmeze mara 5.
Sasa SILENT tool inaweza kuchukua hatamu baada ya ujumbe maridhawa kuwafikia.