TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 384
miaka ya hivi karibuni kumekuwa na vuguvugu kubwa sana la kutaka mapenzi ya jinsia moja especially kwa wanaume/wanaume yatambuliwe kisheria,na jambo hili limekuwa likivaliwa njuga na nchi za ulaya na amerika nabaadhi ya nchi za kiafrika,
sijajua msimamo wa wanawake,hasa wale wanaojiuza kuhusiana na jambo hili,je wanaunga mkono kwamba wamepata wasaidizi au wanapinga kuwa soko limeingiliwa?
sijajua msimamo wa wanawake,hasa wale wanaojiuza kuhusiana na jambo hili,je wanaunga mkono kwamba wamepata wasaidizi au wanapinga kuwa soko limeingiliwa?