Mapenzi na uganga.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi na uganga..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by utu wangu, Dec 7, 2008.

 1. u

  utu wangu Member

  #1
  Dec 7, 2008
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 52
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni nini kinachomfanya baba mtu mzima na familia nyumbani kutelekeza familia na kutumikia nyumba ndogo??? baba anadhubutu kuwalaza watoto njaa, huku akimjengea nyumba kicheche..

  ni mapenzi au limbwata?kuna evidence mabinti wadogo wana majumba ya kifahari na mali kuliko hata wazazi waliowazaa.........
  hii ni fashion au m'momonyoko wa maadili...

  wakuu,your opinions matter
   
 2. eddy_mhando

  eddy_mhando JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2016
  Joined: Oct 7, 2014
  Messages: 2,354
  Likes Received: 1,809
  Trophy Points: 280
  mkuu upo wapi siku hizi....tumeyamiss haya mambo
   
 3. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2016
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,642
  Likes Received: 859
  Trophy Points: 280
  Mmh ...sidhan kama ni uganga. Hulka tu ya mtu,ndo hapo akifulia kicheche nacho kinaota mbawa
   
 4. mzaramo

  mzaramo JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2016
  Joined: Sep 4, 2006
  Messages: 5,901
  Likes Received: 3,762
  Trophy Points: 280
  wazee wanaona raha kuitwa babe
   
 5. J

  Jua usiyoyajua JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2016
  Joined: Oct 10, 2015
  Messages: 564
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 60
  Ni ufala uliopitiliza. Na wengi ni washamba.
   
 6. Nktlogistics

  Nktlogistics JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2016
  Joined: Oct 22, 2015
  Messages: 1,044
  Likes Received: 925
  Trophy Points: 280
  Ni Uoga tu, uchawi upo kwenye mapenzi lakini sio kama watu wanavyodhani..
   
Loading...