Vijana kuwachukua mimama!!

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,944
1,431
Mambo vipi wadau ishuvipi lakini.....Daaa wacha niulize kaswali kangu hapa.......Then hili swali nadhani linatuzunguka jamii wote kwaujumla pia nimeona kama desturi fulani au ndio mila au ndio watu wanakwenda wakati........Hivi kwa nini vijana wa sasa hivi wanapenda sana kutongoza mimama na pia kwa nini mimama na yenyewe inapenda sana vijana??nadhani ukiangalia wamepishana zaidi ya miaka 20 alafu wanapendana sasa hiyo tuite kwenda na wakati au ndio raha zenyewe hizi??Maana hichi kitu badokidogo kinanichanganya sana sasainabidi tufahamishane maana kama kuna raha ya ziada na sisi tuanze kunyemelea maana sasahivi kila mtu anamkamata wake sasa hapo sijui inakuwaje kwanza..Wadau wenye info tuwekeeni hapa tuchangie na tufahamu basi
 
Mambo vipi wadau ishuvipi lakini.....Daaa wacha niulize kaswali kangu hapa.......Then hili swali nadhani linatuzunguka jamii wote kwaujumla pia nimeona kama desturi fulani au ndio mila au ndio watu wanakwenda wakati........Hivi kwa nini vijana wa sasa hivi wanapenda sana kutongoza mimama nadhani imewazidi zaidi ya miaka 20 alafu wanawatongoza sasa hiyo tuite kwenda na wakati au ndio raha zenyewe hizi??Maana hichi kitu badokidogo kinanichanganya sana sasainabidi tufahamishane maana kama kuna raha ya ziada na sisi tuanze kunyemelea maana sasahivi kila mtu anamkamata wake sasa hapo sijui inakuwaje kwanza..Wadau wenye info tuwekeeni hapa tuchangie na tufahamu basi

Nahisi na wewe ni kijana mdogo, Kayatafute ukiyapata utarudi HAPA HAPA kuomba ushauri mimi natakupa ushauri na saa ya bure.
 
Mibaba inatongoza vidada.Change of rolez.

Some Freudian supporters in psychoanalysis would go as far as equating this with the Oedipus complex.
 
Last edited:
Hahahaha wadau kweliwatu wamechoka sana.......daaa mdau kaja kuuliza swali lake maana naona hilo swali sio mchezo yaani naona na yeye anataka kuchukua mimama lakini inategemea wewe mwenyewe unapenda vipi kama unataka mimama wewe zama tu hamna mtu wa kukuzuia kabisa ni uwamuzi wako watu wanasema tunakwenda na wakati sasa hivi hakuna kulala hahahha
 
Yes sio vijana wanapenda kuchukua ma mama hata wamama wanachukua vijana..kwa kuwa hao wazee wao wanakwenda na vibinti(Msikilize Mwana FA alivyo imba kwa hisia kali kwenye bado nipo nipo kwanza)..sasa change of role ina apply.

Ila haya ma mama kwa kweli ni mazuri usumbufu...kila kitu ontime..wasafi.No mizinga ya hapa na pale na beeping.Full uhuru...tatizo ukisha zoea hata sasa uwezo wako wa kutongoza vibinti unapungua...
 
Nahisi na wewe ni kijana mdogo, Kayatafute ukiyapata utarudi HAPA HAPA kuomba ushauri mimi natakupa ushauri na saa ya bure.

Hahaha mkuu sio nikatafute cha muhimu uniambie nini au utoe mchango wa maana basi........Sio nikatafute nadhani hilo sio jibu la topic
 
Yes sio vijana wanapenda kuchukua ma mama hata wamama wanachukua vijana..kwa kuwa hao wazee wao wanakwenda na vibinti(Msikilize Mwana FA alivyo imba kwa hisia kali kwenye bado nipo nipo kwanza)..sasa change of role ina apply.

Ila haya ma mama kwa kweli ni mazuri usumbufu...kila kitu ontime..wasafi.No mizinga ya hapa na pale na beeping.Full uhuru...tatizo ukisha zoea hata sasa uwezo wako wa kutongoza vibinti unapungua...

Daaaa mkuu yaani umelenga pale pale na mimi ndio majibu niliyokuwa nasubiria ndio raha za mimama hiyo,Yaani wanakubembeleza kama mtoto mchanga ndio mambo ya kisasa hayo sio kuchukua vibinti alafu vinaanza kukusumbua akili maana ukiwa naye unatulia kabisa hamna tatizo kabisa zaidi ya kula raha tu mabinti hawa kidogo kila ijumaa twende shopping sasa ni nini hiii????
 
Hahaha mkuu sio nikatafute cha muhimu uniambie nini au utoe mchango wa maana basi........Sio nikatafute nadhani hilo sio jibu la topic

Kumbe majibu unayajua? Hayo ni majibu tosha ya kukufikirisha kama unataka spoon feeding ni kuwa a
kautafute ukimwi utarudi hapa hapa tukupe ushauri nasaha, hao wamama hawa wamama hawatongozwi wanatafuta wenyewe hasa ukionekana unayaweza NA UYAWEZE KWELI.

Pile kama wewe unaogopa kutafuta maisha mpaka ulelewe eti unaogopa kubeepiwa na mizinga sawa njia nyeupe lakini kumbuka THERE IS NO FREE RIDE.

UMENIPATA HAPO AU BADO
 
Mambo vipi wadau ishuvipi lakini.....Daaa wacha niulize kaswali kangu hapa.......Then hili swali nadhani linatuzunguka jamii wote kwaujumla pia nimeona kama desturi fulani au ndio mila au ndio watu wanakwenda wakati........Hivi kwa nini vijana wa sasa hivi wanapenda sana kutongoza mimama nadhani imewazidi zaidi ya miaka 20 alafu wanawatongoza sasa hiyo tuite kwenda na wakati au ndio raha zenyewe hizi??Maana hichi kitu badokidogo kinanichanganya sana sasainabidi tufahamishane maana kama kuna raha ya ziada na sisi tuanze kunyemelea maana sasahivi kila mtu anamkamata wake sasa hapo sijui inakuwaje kwanza..Wadau wenye info tuwekeeni hapa tuchangie na tufahamu basi

Hakuna cha ajabu katoto Papizo this is towards gender balanced society
 
Daaaa mkuu yaani umelenga pale pale na mimi ndio majibu niliyokuwa nasubiria ndio raha za mimama hiyo,Yaani wanakubembeleza kama mtoto mchanga ndio mambo ya kisasa hayo sio kuchukua vibinti alafu vinaanza kukusumbua akili maana ukiwa naye unatulia kabisa hamna tatizo kabisa zaidi ya kula raha tu mabinti hawa kidogo kila ijumaa twende shopping sasa ni nini hiii????

BINADAMU WE DIFFER

KIZAZI HIKI MUNGU APISHE MBALI, kuna na wababa wanalea pia, kupata GX 100 nyekundu ni kitu kidogo tu.
 
Mkuu kwa majibu yako mazuri nimekukubali na sina mbavu kabisaaaaaaaaaa maana sio mchezo yaani na uliyosema yote ni ya ukweli hujakosea kabisa yaani ni ukweli wote wapo wanatafuta vijana ila ndio kama ulivyosema wameshakula maisha sasa pale walipo wanataka wafurahi na kufa basi sio zaidi mchango wako mzuri sana mkuu
 
THERE IS NO FREE RIDE.

UMENIPATA HAPO AU BADO[/QUOTE]

Mbona unakuwa mkali kama unazua mechi(Unafanya bila kinga)?mkuu kwanini husemi wadada unakuwa mkali kwa wanaume...this is two way trafic hata hao there in no free ride..dunia hii kila baada ya miaka 100.Kizazi kinabadilika..kabisa..too short kuhangaika na presha wakati raha zipo.

Ukiwa unafanya kwa akili ila hupati bughudha hoja yako inakuwa dhaifu sana.
 
Hakuna cha ajabu katoto Papizo this is towards gender balanced society

Hahaha mkuuu jaribu kuchange hapo juu naona kama umeweka mistake kwa bahati mbaya au umekusudia nadhani kama umekusudia nadhani haijatulia hiyo hujaniona bado sasa ukisema hivyo unakosea mkuu.....ila pia mawazo yako mazuri thanks......
 
BINADAMU WE DIFFER

KIZAZI HIKI MUNGU APISHE MBALI, kuna na wababa wanalea pia, kupata GX 100 nyekundu ni kitu kidogo tu.

Hahaha kabisa yaani maana unajuwa sasa hivi kila kitu au kila mtu anafanya anavyotaka yeye sasa itafikia kipindi wakina dada watakuwa hawana ishu kazi kweli kweli
 
THERE IS NO FREE RIDE.

UMENIPATA HAPO AU BADO

Mbona unakuwa mkali kama unazua mechi(Unafanya bila kinga)?mkuu kwanini husemi wadada unakuwa mkali kwa wanaume...this is two way trafic hata hao there in no free ride..dunia hii kila baada ya miaka 100.Kizazi kinabadilika..kabisa..too short kuhangaika na presha wakati raha zipo.

Ukiwa unafanya kwa akili ila hupati bughudha hoja yako inakuwa dhaifu sana.[/QUOTE]

Yap mkuu unavyosema ni kweli kabisa yaani ni kote kote maana ukiangalia hata ma mama na wenyewe wanapenda sana kuibukia kindergarten sasa si ndio hapo??? na pia hilo lipo sana tena sana na pia hii tabia inazidi kushamiri kabisa..........ila ndio ndio mambo mazuri hayo maana kama yangekuwa mabaya isingekuwa hivi au sio???Pia ukiwa naye ndani hamna nini wala nini ila sasa vibinti ukishakuwa mwisho wa mwezi umefika utasikia nataka kwenda shopping kuna nini huko???
 
Daaaa mkuu yaani umelenga pale pale na mimi ndio majibu niliyokuwa nasubiria ndio raha za mimama hiyo,Yaani wanakubembeleza kama mtoto mchanga ndio mambo ya kisasa hayo sio kuchukua vibinti alafu vinaanza kukusumbua akili maana ukiwa naye unatulia kabisa hamna tatizo kabisa zaidi ya kula raha tu mabinti hawa kidogo kila ijumaa twende shopping sasa ni nini hiii????
Acheni hayo mambo.Baba yako au baba zako wadogo or Mama yako au mama zako wadogo,wajomba au mashangazi utawaangalia kwa jicho gani?
Tupige vita hili kwa nguvu zote,tukitumia BUTTERFLY EFFECT.
 
kama unaoa Ji mama au ukiwa dada waolewa na Kibabu its FINE, lkn UZINIFU TUACHE JF Members
 
Back
Top Bottom