Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,665
- 12,170
Iwe kwa sababu yoyote itakayokujia kichwani, unahisi utafanya nini endapo utalazimika kuachana na si kutengana tu kwa muda na mpenzi wako mnayependana haswa lakini inatokea tu kunakuwa hakuna plan b inabidi muachane japo mnapendana. Au kama ilishakutokea ulifanyaje?
cc HARUFU
yeah uwezekano wa kurudiana mkikutana tena ni mkubwa ila tatizn ni wakati huo wa kutenganaMapenzi ya kuachana wakati mnapenda huwa maamuzi magumu Sana Kama ya kuhama chama ili tu ukikomoe, Mara nyingi xana blan C lazima iwepo ni kurudia tu, hata kam mlikaa kipnd kiref kidogo