Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

BY DAYAN MASINDE Bedroom walls hold so many secrets. If your bedroom walls could talk what would they say? 1. ?Why are you sexing a stranger on the bed that belongs to you and your spouse?? 2...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Utafiti nilioufanya kwenye ma group mengi ya mitandao ya kijamii, imethibitisha kuwa, wanaume wa sasa wanapenda BJ kuliko kufanya mapenzi ya kawaidi, hii inatokana na maumbile ya wanawake...
3 Reactions
97 Replies
26K Views
Nimekuwa nikifuatilia thread nyingi zinazoponda wanaume wa siku hizi kuwa hawajui kutongoza. Nikashangaa sana sasa kama wanaume hawajui kutongoza inakuwaje wanawapata wanawake. Challenge...
0 Reactions
118 Replies
60K Views
Habarini, Mimi ni mtu mzima na nina Akili timamu nimefikia maamuzi ya kutokuja kuoa wala kuwa na moto maisha yangu yote! Sio kwamba sina uwezo wa kuoa lahasha nina uwezo wa kuoa hata wanawake wa...
17 Reactions
185 Replies
21K Views
Sifa zake: 1. Awe mkristo, anamwogopa na kumheshimu Mungu. 2. Awe ana shughuli halali ya kumpatia kipato(asiwe tegemezi) 3. Awe kuanzia na kimo kuanzia 5 7" na kuendelea (asiwe mfupiiii sana) 4...
5 Reactions
81 Replies
11K Views
“Zawadi ni nzuri katika uhusiano wa kimapenzi. Lakini ikiwa mvulana anaweza kuendeleza mazungumzo, ikiwa anaweza kukufariji na kukutia moyo kwa maneno yake . . . Basi, huyo anavutia hata...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
MWANAUME MWAMINIFU: Hii ni kwa wanaume... ila wanawake mnaweza kusoma na Kujifunza kuwa wanaume ni waaminifu.. * Jamaa mmoja alienda kukata mkaa polini.. wakati anakata mkaa Panga lake...
16 Reactions
31 Replies
4K Views
Salam wanajavi, Kunatukio ambalo limeacha vinywa vywa watu wengi wazi, ambalo linawahusha ndugu wa nyumba moja.Inasemekana jamaa alikuja kwa dada yake kusoma,ndipo akawa na mahusiano na mtoto wa...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Siku moja professor wa saikolojia aliingia darasani na kuwaambia wanafunzi wake wajiandae na Test anayowapa muda huo huo. Wanafunzi walisubiri kwa uoga mno hasa ukizingatia aliwaambia ghafla mno...
10 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba kuelewa juu ya hili kwani kuna rafiki yangu kaachana na baba watoto wake, cha kushangaza mwenzie kamnunia hata akimtumia massege ya kawaida kabisa kuhusu watoto hajibu wala simu hapokei na...
2 Reactions
129 Replies
15K Views
jamani naomba siku ya leo niongelee juu ya ulonzi kwenye mahusiano kimsingi hii post nimeikopy kule kwenye uzi wa @lara 1 nilikoipost ili sasa wanaume watambue wanayofanyiwa and to me hii ni vita...
7 Reactions
116 Replies
60K Views
Deleted
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Ipo siku utakuja kukutana na mtu ambae atakufanya usahau maumivu yote ya mapenzi ambayo umepata kukumbana nayo, ambae atakufanya uwe na furaha Ambae atakuja na kukupenda pasi na kikomo licha ya...
21 Reactions
57 Replies
11K Views
HAYA NI MABUSU YANGU DAZENI Mabusu yangu dazeni, nayatuma kwako moyo! Ulipo hapo mjini, natuma bila uchoyo, Pokea wangu wa ndani, ni dazeni nikupayo, Kwa hili Busu la kwanza, beti nazifungulia...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari wanaJamiiForum, natumai nyie ni wazima sana. Kwa wale wanaume wa ukweli leo nawaasa waache kufanya mambo haya yafuatayo; 1.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na marafiki wa mke wake,au...
2 Reactions
60 Replies
9K Views
This was simply just too beautiful not to share. This series of photos is telling the suffering of a poor bird shocked with his partner's fatal injury. Here his wife is injured and the...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
The Other Woman After 21 years of marriage, I discovered a new way of keeping alive the spark of love. A little while ago I had started to go out with another woman. It was really my wife's...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
A blind boy sat on the steps of a building with a hat by his feet. He held up a sign which said: 'I am blind, please help.' There were only a few coins in the hat. A man was walking by. He...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
A tear comes to mind, when I think of you And remember the time when our friendship was new. A gentle smile centered on your face, And I knew that then was the time and place, To kiss you, I...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kujamiana ni tendo lililobarikiwa ndani ya ndoa lakini upo utata mkubwa wa mjamiaane mara ngapi kwa wiki au mwezi. Wako wanaoona hakuna formula ila mjisikiiapo lakini pia Tupo tuonapo siyo suala...
5 Reactions
153 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…