Ukweli kuhusu kutongoza

mwenyeKitu

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
946
771
Nimekuwa nikifuatilia thread nyingi zinazoponda wanaume wa siku hizi kuwa hawajui kutongoza.

Nikashangaa sana sasa kama wanaume hawajui kutongoza inakuwaje wanawapata wanawake.

Challenge nInayoleta jamvini kama kweli kuna mafundi wa kutongoza wamewahi kuwatongoza embu weka humu hiyo mitongozo inayoweza shinda tuzo za Grammy ili vijana wajifunze.

Nitahitimisha kuwa mlikuwa mnazoza tu baadae.
 
Nimekuwa nikifuatilia thread nyingi zinazoponda wanaume wa siku hizi kuwa hawajui kutongoza. ..

Nikashangaa sana.... sasa kama wanaume hawajui kutongoza inakuwaje wanawapata wanawake.

challenge nnayoleta jamvini kama kweli kuna mafundi wa kutongoza wamewahi kuwatongoza ....embu weka humu hiyo mitongozo inayoweza shinda tuzo za Grammy ili vijana wa jifunze. ..

nitahitimisha kuwa mlikuwa mnazoza tu baadae.
"Kutongoza kuna Maneno & Mazingira yake, wewe jiulize mtu anatongoza demu asubuhi hata mswaki hajapiga guess nn kitatokea?"
 
ivi wanawake wametengeneza formula ya kutongoza? bas waiandike na waitangaze ili ifuatwe
 
Kutongoza hakuna kanuni bwana, kwanza miili yenu mtongozaji na mtongozwaji huwa inaongea zaidi kama mko pamoja na maneno huwa ni kujazia tu. Hii ni maalum kwa watu wanaojaribu kuanzisha uhusiano katika uhalisia tu. sio wajasiriamali wamapenzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom