Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,658
- 11,604
Salam wanajavi,
Kunatukio ambalo limeacha vinywa vywa watu wengi wazi, ambalo linawahusha ndugu wa nyumba moja.Inasemekana jamaa alikuja kwa dada yake kusoma,ndipo akawa na mahusiano na mtoto wa dada yake huyo.
Wawili hao ambao kiumri wanaendana walikua wakiibana ndani ya nyumba hiyo hiyo walimoishi.Hata hivyo mpaka muda huu jamaa ajulikani alipo maana tangu Ijumaa jitiahada za kumpta zimeshindikana.
Maana kwao kijijini hajafika na mawasiliano yote kazima.
Najiuliza jamaa sijui yupo kwenye hali gani muda huu?
Kwanza kaaribu maisha yake kwavitu vya kujitakia (sababu sio mtoto mdogo)
Chingine mimi kinacho nipa fikra yule mtoto sijui atamleaje? Ikizingatiwa maadili yetu kama binaadam,haipendezi kuzaa na kharam yako (mama, dada ,shangazi, mtoto wa dada yako) etc.
Nihayo tu wadau,dunia inamambo hii na kila kukicha kituko kipya kinazaliwa.