Kile ambacho wasichana husema kuhusu uhusiano wa kimapenzi

Pi Network

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
290
319
“Zawadi ni nzuri katika uhusiano wa kimapenzi. Lakini ikiwa mvulana anaweza kuendeleza mazungumzo, ikiwa anaweza kukufariji na kukutia moyo kwa maneno yake . . . Basi, huyo anavutia hata zaidi.”—Tina.

Tofauti na kile anachosema Tina aliyetajwa hapo juu kuhusu mahusiano ya kimapenzi, wewe una maoni gani?

Ni jambo gani linalo kuvutia, na lipi halikuvutii katika mahusiano ya kimapenzi?
 
Back
Top Bottom