Asante kwa ushauri mzuri.Kama ni mwamini muombe Mungu wako akukutanishe na mwanamke wa ndoto zako! Usimbane Mungu wako kukuchagulia maana ukishasema unamtaka mwalimu umembana! Mwache akuchagulie anayeona anakufaa na akupe mwanamke aliyemuumba kwa ajili yako, maana najua Yeye anakujua zaidi ya wewe unavyojijua!
Aliyezalishwa hapana.Kumbe unataka mwl. Huku wako wengi lakini wamezalishwa kama hujali tupia contact nkuunganishe.
Note: mke akiwa mzima, hana hiv oa tu izo changamoto zingine mbele kwa mbele, ila tabia nyingine hujionyesha mwanzo tu kabla hujamuoa kama mapepe, tamaa, shobo, uchawi, uchoyo
Asante mkuuPole sana Mheshimiwa.
Kipindi ulichonacho ni kigumu na usipokuwa makini utapata bora mke maana unashauku ya kuwa na mke. Mimi naona uanze kuomba Mungu ili aonyeshe njia, Afungue macho na pia akupe wepesi wa kuamka na kuanza kuwa karibu na hao walimu kwa kuwa mke huchaguliwa na sio kutafuta.
Uwe makin cku hiz Kuna wake wa kutengenezwa.Habari Jf.
Ni wastani wa miaka mitatu sasa natafuta mke lakini sijafanikiwa kumpata ninae mtaka.
Kwa upande wangu niko tayari kuwa na familia pia nitamudu kuitimizia familia mahitaji mhimu.
Miaka ndio hio inaelekea 30 na sijui kama nitapata kabla ya miaka 30 kutokana na hali ilivyo sasa.
Kiwango changu cha elimu ni shahada,nina ajira ya serikali pia ni mfanyabiashara jiji la Dar es Salaam.
Sina tatizo lolote la kiafya na muonekano.
Natamani sana kuishi na mwanamke mwajiriwa(mwalimu).
Nategemea ushauri utakaonisaidia kuliweka sawa tatizo lililo mbele yangu.
0625973037
mwalimumwasanguti@gmail.com
Kama halikuhusu pita bila kujaza maandishi nimeandika nikiwa na akili timamu
Habari Jf.