Ulozi kwenye mahusiano... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulozi kwenye mahusiano...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by gfsonwin, Oct 9, 2012.

 1. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  jamani naomba siku ya leo niongelee juu ya ulonzi kwenye mahusiano kimsingi hii post nimeikopy kule kwenye uzi wa @lara 1 nilikoipost ili sasa wanaume watambue wanayofanyiwa and to me hii ni vita ambayo wanafanyiwa na hizo small house. hizi ni baadhi ya aina za dawa ama mbinu ila zipo nyingi na kila siku nitawawekea hizi mbinu chafu zinazotumika kuwaumiza pasi kujua. nina quote hapa

  "nyie mnawakosea hawa wanaume iko hivi kuna kitu inaitwa limbwata hii ni nyama ambayo inawekwa kwenye UCHI MWANAMKE KWA SIKU 7. kisha inapikwa kwenye mboga halafu ile nyama mwanaume anaikula walllah huyu hafurukuti miaka nenda rudi wala haiish nguvu.

  pia kuna kitu kinaitwa ndelenja ya kuoga na kuchanjwa basi hizi bidada anachanjwa na kuogea na kuzieka kunako basi kila ukiingia unausikia utamu wa kufa mtu na kamwe hutakumbuka uchi wa mwanamke mwingine yyte yule chini ya mbingu zaid yake huyu.

  haya kuna kumuinamisha mwanaume- hapa inategemea na aina ya mganga la wengi hupenda kuchukua makombo waliobakiza wanaume wanapokula kisha unachanganya na unyayo wake, kucha na nywele za tupu na kichwania na uzi wa nguo za ndani kisha zinakaangwa jikon zinakuwa jivu zinachanganywa na madawa mengine kama udi na ubani na maji zya zamzam na tarasibu basi mwanamke anazifukia ndani yaani kwa anayeweza anabomoa hata tiles ama anafumua godoro anaweka katikati basi huyu mwanaume yaani hawez kufurukuta miaka nenda rudi kila aendapo lazima akumbuke arudi hapo.

  haya nisimalize ulonzi wote hapa mwanaume ili akupende daima lazima aule mwili wako wote na hii atakula nywele za aina zote, kucha zote, maji ya kuchambia matuandu yote na maji ya kuogea. ukiona mwanaume anakuwa zuzu sana ujue wamechukua yule mdudu kiingereza huitwa earth worm wakamchanganya na ndelenja ya kutambaa kisha ikatengenezewa baruti ikalipuliwa wallah huyu mwanaume lazima mke akikohoa tu yuko kukinga makohozi na kamwe dawa hii huwa huwez kuirudisha tena.

  pia kabla sijahitimisha kuna dawa inayotengenezwa kwa kutumia kitambaa cha shughuli yaani kile kitambaa mkisha kitumia basi hakifuliwi kinatiwa dawa kisha kinaekwa ndani ya kopo mwanamke anakificha chumban basi mwanaume huyu milele hatakaa asimamishe kwa mwanamke zaid ya huyu na siku kikipotea ndo esting hakuna tena milele  on the other hand wapo wanaume ambao hufanya ulonzi ili wawapate wanawake fulan na wengi wao hawa hutumia visomo fulan vya kishirikina viivyoandikwa kiarabu hivi huwa havikwepeshi lazima tu vitamkuta mlengwa na kamwe mwanamke atakubali kuolewa nae.

  pia dawa hasa za kichawi zenye manuizi ya kiarabu ambazo huwekwa kwenye matunda ama vyakula, mikononi na ndio maana ni (hatari sana kwa mwanamke kushikana mikono na stranger hasa kama ni kwa salamu tu), kupitia simu nk.

  to me this is stupid but ni vyema mjue mnalogwaje na dhamira ni nini sasa hapa kazi kwenu kwa wanaopenda niwaambie aina za haya madawa ani pm ila masharti msigombane na wake wala wapenzi wenu lol."
   
 2. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,616
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Dah !! Hadi mwili umesisimka
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  duh, my level of uelewa haielewi hii dhana hata tone, hakuna kitu kama hiki.
   
 4. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  I still don't know why i am very reluctant to believe hizi ndude?
  I had my friend tena my friend indeed yaan his wife could do everything even in his presence.and yet he did nothing..
  Some people just related the very attitude of my friend as a result of his wife's witchcraft..still i ddnt give a shit!
  But as u said probably...lisemwalo lipo..but it is up to the time then i'll will get into my senses...ila it's too sad!!
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  basi mwaya usijali ipo siku utaamini.

  hebu siku muulizie mtu hivi libwata ni nini?
   
 6. Root

  Root JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,267
  Likes Received: 12,988
  Trophy Points: 280
  Nitamtegemea Yesu hope hayatatokea

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 7. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  yaani ngoja nikwambie hivi umewah kuona bandiko la mganga wa kienyeji akijitangaza? wafikir wanaandika uongo? basi zipo dawa za kuongeza mvuto, kumwita aliyeko mbali, kuharakisha kuolewa na hata za mapenzi. haya mambo yapo na ukikaa na magwiji utayajua nakuambia.

  mie huwa nayaamin na huwa najilinda nayo kwa sala na maombi dhidi ya wanangu na mume wangu na mimi binafsi basi. hata siku moja sina urafiki na mshirikina na kamwe silali bila kumtenga asinione.
   
 8. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Baeleze hawa bamutu baelewe
   
 9. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  It's not that i dont believe the presence of superstition my sister ila i feel difficulty to let myself beleive that love can be facilitated in the lieu of witchcraft practices ..Rate ya break ups na divorces bado ina nishawishi kuamini kuwa mapenzi ya kishirikina sio deal...
   
 10. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Have u ever tried to bewitch your lover?
  Dont tell me that the story you narrated was yours??
   
 11. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  shosti lara 1 nawe waamin mambo ya ulozi kwenye mapenzi? Mie hawa viumbe wakiume hawaniumiz kichwa hata chembe,tabu zote za nn
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Duh!................................
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Aisee, kuishi ni kujifunza.
  Kumve mjini kuna mambo mob, duh!
   
 14. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Bibiee fanya Mambo Basi!
   
 15. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  I dont believe in haya mambo na sidhani kama kuna atakayennikonvisi otherwise
   
 16. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  yuuuuuuuuk!! :evil: sikuweza kuendelea kusoma.

  and to think i was considering this option
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hivi mwanamke anakaaje na nyama up there for 7 days? Should be very uncomfortable, smelly and infectious! Na haitaanguka as it rots? Kisa cha kutoa mafunza? Si aende tu, kheee!
  Na hiyo ya maji ya kutawazia, sijui kucha na nywele, si mtapata amoeba? Dah!
   
 18. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  sasa my bro SnowBall break ups and divorce ni outcomes za witchcraft, iko hivi ndoa yako hiyo unaipenda sana ila hauko alone unaye ipenda sasa ulonzi ukiingia ndo hapo kazi inakuwa ngumu. ngoja nikupe ushuhuda wa kweli

  kuna mama mmoja ni jiran yangu, mumewe ni dalali wa mashamba huku dsm vijijin. sasa walianza life kt hali ngumu balaa. kwani walikuwa wanaish kwenye mapagale ya mabosi wakati wa ujenzi u can imagine.mume akaadvance kwa ushauri wa mkewe wakafikia hatua ya kununua mshamba ya wazawa kwa bei nafuua kisha wakatyakata viwanja wakauza kweli maisha yalisonga sana kwa kiwango kikubwa sana.

  miaka kama 3 hivi iliyopita walianza kujenga nyumba, ila kwakua bwana anahela akaanza mambo ya vishenshude basi akatoka na bar medi. lol........huyu dada alifikia hatua ya kumloga huyu baba aachane na mkewe. siku moja wakiwa kwenye pagale bado hawajamaliza nyumba yao mke aliskia harufu mbaya sana ya kinyesi basi akatoka nje mida ya saa 11:30 alfajairi akakutana na bonge la kinyes cha binadamu kimewekwa juu dirishani na mlangoni na pia kiatu cha mumewe alichokua amevaa akakivulia nje usiku alipoingia kulala kikawa kimetapakaa kinyesi.

  kosa alilofanya huyu mama ni kuosha kile kiatu na kufuta kinyesi kilichotapakaa. lolest yaani hapo hapo mumewe alianza kumuona huyu mama kama mavi siriaz nakuambia. yaani akiingia ndani anamuona mkewe kama ananuka mavi, hali ikaenda tena dada alikuwa mjamzito. mume akahama nyumbani na nguo zake akaenda kwa yule kidosho wake.

  hakumjua mkewe kwa chumvi wala sukari, na mumewe akiamabiwa chochote anakuja juu kama moto. ili kaa hadi huyu mamama lipata kichaa cha mimba kwa msongo wa mawazo. baadae ndo majiran na ndugu kuhangaika nae kwenye maombi mumewe ndo kurudi nyumbani. hapo ndo siri ilipobumburuka manake kidosho ilibidi avujishe siri kwa mwenzie wanayeuza nae baa na huyu ndo kusema hapa kuna a, b,c. na hata waganga wa kienyeji husema kabisa ukitaka kuamin siku mzuzzkie mmoja umuulize atakupa mchapo wote.

  sasa kiukweli kuna wanaume ambao hupakwa mavi pasi kujua, hupakwa mayai viza acha kabisa ama hutiwa nuksi milele unaonekana kisirani si ndoan tu hata kazini na kwa majirani yaani achana na binadamu bana. binafsi simwamini mtu na wala simpi mtu nafasi ya kunizoea sana.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  yaani usiseme umeona aisee wewe nyamaza tu.
  ila dunian kuna mambo acha kabisa.
   
 20. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  do they care wafikiri? wanachojua ni kumvuta wanayemkusudia acha kabisa. ukiskia nyumba ndogo inapika vizuri msosi wake mtamu ujue ndo nyama hizi.
   
Loading...