Natafuta rafiki wa kiume Mkristo miaka 35-42

gene38

Member
Feb 18, 2016
5
7
Sifa zake:
1. Awe mkristo, anamwogopa na kumheshimu Mungu.
2. Awe ana shughuli halali ya kumpatia kipato(asiwe tegemezi)
3. Awe kuanzia na kimo kuanzia 5 7" na kuendelea (asiwe mfupiiii sana)
4. Awe Mweusi au maji ya kunde
5. Awe na miaka kati ya 35-42
6. Asiwe na HIV na awe tayari kupima

Sifa zangu:
1. Mkristo,nampenda Mungu na kumuheshimu
2. Ninajitegemea, si tegemezi
3. Mimi ni mweusi,weusi wangu ni mwororo,umbo namba nane,nywele ndefu,msafi,najipenda.
4. Kimo changu ni 5 4"
5. Miaka ni 38
6. Mchangamfu
7. Sina HIV na nipo tayari kupima

**Anayefit, anayependezwa nami hapo juu na aliye serious aniandikie email iamgenevieve38@yahoo.com

Karibu
 
Subiri watakuja na huenda ukampata mtu unaemtarajia. Ingawa nina hofu kidogo kumpata mtu sahihi wa umri huo akiwa single. Wengi tayari tuna familia. Ila huwezi kujua Mungu ni wa ajabu. Ukiwatajia na umri wako na hobby yako itawavutia pia.
 
Asante Tate, mimi ni outgoing sana,napenda michezo,napenda kushiriki mbio fupi/marathon events,kupumzika kwenye fukwe,kuangalia mpira, na mengine meengi. Umri wangu ni miaka 38 kama nilivyoainisha hapo juu.Thanks.
 
apo kwenye umri tu ndo nimekukosa.age is just a number ukilegeza apo kwenye umri walau kuanzia 27 ntarudi
 
Mwanamke akifika age iyo anastress ya kuolewa kwl...mbona usemi ushakuwa nao wngap ad hapo uliposhindwana nao ad uje utafute huku?huku hakuna mume zaid chapa ilale
 
Unatafuta mume au rafiki? anyway isiwe kesi mie nimekuelewa, unatafuta mume wa kuoana nae, ila jua walo na miaka tajwa walioa wakaacha na wengi huwa na watoto so kabla ya kupanga umri uutakao ungefanya research ya kulea watoto wa mke mwenzio. vilevile sema wewe umewahi kuolewa ama la? je una mtoto ama la?
 
Sifa zake: 1. Awe mkristo,anamwogopa na kumheshimu Mungu. 2. Awe ana shughuli halali ya kumpatia kipato(asiwe tegemezi) 3. Awe kuanzia na kimo kuanzia 5 7" na kuendelea (asiwe mfupiiii sana) 4. Awe Mweusi au maji ya kunde 5. Awe na miaka kati ya 35-42 6.Asiwe na HIV na awe tayari kupima

Sifa zangu: 1.Mkristo,nampenda Mungu na kumuheshimu 2.Ninajitegemea,si tegemezi 3.Mimi ni mweusi,weusi wangu ni mwororo,umbo namba nane,nywele ndefu,msafi,najipenda. 4.Kimo changu ni 5 4" 5.Miaka ni 38 6.Mchangamfu 7.Sina HIV na nipo tayari kupima

**Anayefit,Anayependezwa nami hapo juu na Aliye serious aniandikie email iamgenevieve38@yahoo.com

Karibu
Sas hyo ni ajira nn???
 
Mmmmhhh cjui nikuletee baba yangu mdogoo maana anatafutaa mkee coz alifiwa na mke hvyo akamwachia watoto 7 hvyo anataka kuoa tena nimchungai ,je upoo tyr
 
Asante Tate, mimi ni outgoing sana,napenda michezo,napenda kushiriki mbio fupi/marathon events,kupumzika kwenye fukwe,kuangalia mpira, na mengine meengi. Umri wangu ni miaka 38 kama nilivyoainisha hapo juu.Thanks.
Unashabikia timu gan bongo na ulaya
 
Asante Tate, mimi ni outgoing sana,napenda michezo,napenda kushiriki mbio fupi/marathon events,kupumzika kwenye fukwe,kuangalia mpira, na mengine meengi. Umri wangu ni miaka 38 kama nilivyoainisha hapo juu.Thanks.
Duuuh kwa hizi hobby kuna kumpenda na kumheshimu mungu kweli? anyway, kuna jambo hujaeleza vp kuhusu watoto/mtoto?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom