Hahahahaha ulitaka bure? Kamuombe dadako atakupa bure
Sina tatizo na huyo anayetumia laki saba kununua brazilian hair kama kipato chake au cha mume wake au familia yake kinafikia huko. Nina tatizo na huyu mwenye mshahara wa laki na nusu.Wanapenda makuu sana,ila kweli ndugu siku hizi wadada classic kusuka rasta elfu 50,sijui kuweka wigi elf 70,akitaka lace wig cjui lki 3, mbona utawakoma???tafuta size yako asie na makuu na anaewaza maendeleo mda wote..Sio hawa wa kuchuna wala show off
Mkuu, hapo umemkosea, ungempatia tu, hicho ndo kipaumbele chake, zingatia kuwa hapo alikuwa anakuomba mtaji ajitengeneze, apenedeze, avutie na kupendwa na wateja wengi zaidi kule bar ili aongeze kipato kwa kutongozwa na wanaume wengi, ni sawa na kama angekuomba hiyo pesa na kuiwekeza kwenye biashara.Binti baa medi analipwa laki na hamsini kwa mwezi, anathubutu kuniomba elfu hamsini, sio kulipia kodi ya nyumba au kumsaidia mdogo wake ada bali akatengeneze nywele. Shenzi nimemuacha kuanzia leo, hajui vipaumbele vyake.
Busara ilitakiwa kwa nyote wawili kuepusha haya mambo.Hahahahaha ulitaka bure? Kamuombe dadako atakupa bure
jun255 hakuna sehemu nimesema bure, ninaweza kukununua wewe na mama yako mzazi hata kwa milioni kumi ila kwa mtu anayefanya kazi ya mshahara wa laki na nusu, sioni kama anatakiwa kutumia elfu hamsini kutengeneza nywele. BTW wewe na mama yako mnaweza kudai shilingi ngapi?
nywele ndio mtaji wake kwani wewe hujui. kupitia nywele atapata wateja wengi na itamlipa zaidi. hata huyu aliyekataa kutoa 50,000 huenda alimpendea nywele zilizotengenezwa vizuri50000 mtaji wa mtu huo we unataka ukarekeabishe nywele bora ungesema unaenda kurekebisha ubongo ningekuelewa
nilivaa viatu vyako tu
Muelewe mtoa mada lengo lake,sio kama hana ela.acha kkurupuka.Hahahahaha ulitaka bure? Kamuombe dadako atakupa bure
Shem aggy naomba tuongee kidogo pm dadanguWanapenda makuu sana,ila kweli ndugu siku hizi wadada classic kusuka rasta elfu 50,sijui kuweka wigi elf 70,akitaka lace wig cjui lki 3, mbona utawakoma???tafuta size yako asie na makuu na anaewaza maendeleo mda wote..Sio hawa wa kuchuna wala show off