Ndugu wanabodi kuna mwanamke nilikuwa namtaka.Kila nikimpigia mara hapokei,mara anajibu kwa kifupi, mara asinijibu basi nikaamua kumpotezea.
Lakini huyu mwanamke ana mtoto na juzi akaja kwa nguvu zake zote na ananilaumu eti ohoo sikuwa nampenda kisa nilimfatilia kwa muda mfupi.
Hivi wanawake nyie mbona hamueleweki.kwanini mnakuwa hivo baadaye mnajutia wenyewe? Wanawake ni viumbe wa ajabu kweli.