mchorazombie
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 282
- 114
Wagwaaan!
Mimi ni kijana ambae nimemaliza Chuo kikuu mwaka 2014 na kwa sasa nafanyakazi na kampuni binafsi inayojihusisha na mambo yaukandarasi.
Kwa sasa ninampenzi ambaye nimedumu naye kwa takribani four years na tulishatambulishana kwa wazazi wa pande zote.
Kama mnavyojua katika harakati za kutafuta maisha bora zaidi, mwaka huu siku Si nyingi naweza nikaenda kulitumikia taifa na malengo yangu ni kuwa mwanajeshi. Hii issue nilisha mshirikisha mpenzi wangu na respond yake sikuipenda Sana kwasababu niliiona ya Mashaka Mashaka kutokana na sababu aliyoniambia eti amenizoea Sana na ananipenda Sana coz muda mwingi huwa tuko pamoja tukishare mambo mbalimbali so anaona nikienda huko jeshini atakua mpweke Sana maana tunaweza tusionane kwa zaidi ya mwaka (nikimuangalia body language yake inaonesha kuwa upweke utamshinda).
Mimi Kama mwanaume nimejaribu kumpa moyo Sana na kumwambia napigana kwa ajili yake Ila amekubali but nikimtafakari kwa mkini nahisi Kama anakubali shingo upande tu, sasa nimepanga kabla sijaenda mafunzoni nimpachike mimba kabisa mnanishaurije wadau.