mhogo mtamu3
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 344
- 250
Nakumbuka mwaka 2011 nilienda kukutana na bi mdada wa Facebook pande za mwanza nikiwa na matumaini kibao kuwa naenda kumit na Kim Kardashian
.
Ila nilichokutana nacho ni tofauti na nilichofikiria mana ilibidi rafiki yangu azuge ndo mimi mana mi kusepa kisa binti kuwa polygon
. We unakumbuka nini rafiki siku ya kwanza kumit na mpenz wa social network?

Ila nilichokutana nacho ni tofauti na nilichofikiria mana ilibidi rafiki yangu azuge ndo mimi mana mi kusepa kisa binti kuwa polygon