Vyakula vya kusaidia wanaume

MtuSomeone

Member
Dec 7, 2008
57
3
Wana FM!!
Naomba msaada kuhusu aina zifaazo kwa wanaume kula ili kuongeza nguvu na stamina ya kufanya tendo la ndoa!

Hii nimeiona ni mada muhimu kujadiliwa kwa kuwa sasa hivi takwimu zinaonyesha kwamba ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu wanawake wankosa huduma ya tendo la ndoa kwa ufasaha kiasi cha kutosheleza!! Nafahamu baadhi ya mambo kama ukosefu wa mazoezi ya kutosha, ulevi, na mafuta mengi mwilini pia yanachangia!! Hoja yangu hapa nataka kuelimishwa ni vyakula gani iwe vya kupikwa au vyakula asilia vinavyoweza kumsaidia mwanaume? Vile vya muda mrefu (sex boosters) na vile vya muda mfupi kabla ya kufanya tendo (stimulators)
Msaada wana JF
 
kwa kifupi jaribu kutumia sana sea food
 
vyakula vyenye wingi wa Zinc,

1. Pweza na supu yake.

2. Samaki na supu yake

3. Chaza na koa wabichi

Vyakula vya jamii ya;

1.Karanga mbichi

2.Korosho

Matunda;

1. Tikiti maji

...vile vile vionjo vingine kama kitunguu swaumu na pilipili vinasaidia kwa kiwango kikubwa.

NB; la msingi ni kula kwa kiasi, mazoezi ya mara kwa mara na kupunguza sumu ya pombe katika damu, i.e kupunguza 'kinywaji!'
 
Piga zoezi tu kimbia, nyanyua vyuma...:) na hakikisha unakula balanced diet...lakini angalia kisura asikukimbie kwa kuzidiwa mapigo
 
.........ha ha ha basically you 're all right. But exercise is the most with balanced diet. As said above make sure you take some food rich in protein and Zinc minerals.... Punguza kitambi cha chini (kitambi chakuning'inia/kilichodondoka) kwani kinazuia blood floor kwenye sex organs.
 
Duu..kitambi cha chini!!!chakwangu nakiburuza na wese bado limo..au ni suala la muda kabla wese kukatika
 
wanjamii wenzangu haya mambo ni mind set tuu, i mean ni kucheza na akili tuu wakubwa
 
Nafikiri suala la msingi hapa ni mazoezi tu. Wengine wametoa hoja kuhusu stimulators na sio nini cha kukuongezea stamina ukiwa kitandani. Kama unataka stamina ni kufanya mazoezi tu. Unaweza kwenda round nyingi bila kuchoka kama una zoezi. Ukinywa konyagi, au ukila korosho au karanga, kama hauna zoezi utachemka mapema tu mtu wangu. Hamu unakuwa nayo, but your body can not go on.

Just exercise guys.
 
Nafikiri wengi wanasumbuliwa na hofu na kutojiamini, kama kweli huna matatizo yoyote ya kiafya au maradhi sidhani kama kutakuwa na matatizo ya nguvu za kiume.

Mbali ya hapo Mazoezi ni muhimu, sio kukaa kizembe zembe
 
Back
Top Bottom