mficha sukari
Member
- May 9, 2016
- 13
- 4
Kuna siku nilienda kumtembelea boyfriend, sasa mda natoka kwake yeye akawa yuko kama hatua kumi mbele yangu mimi nilikuwa na mdada wa saluni nachukua namba za simu kuna rasta nataka nimwagize.
Sasa ile namaliza kuchukua namba mbele kulikuwa na mijibaba kibao kwenye Grocery inamshangaa hatari boyfriend vile kabeba bag yangu....ikanibidi nikimbie nimuwai niwe naye karibu ili kule kushangaa kupungue....
Pamoja na kuwanaye close ile mijibaba iliendelea kushangaa tu. Sasa sijaelewa kwani boyfriend kubeba begi ya kike ni tatizo? Mbona naonaga Dai anabeba ya Zari na watu hawashtuki? Why my boyfrind washangae?