Ni halali kwa Baba kumuanulia kambani chupi bintiye?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Kimaadili hii imekaaje Wandugu? Hii kitu nimekuwa nikiiona sana maeneo ya Masaki, Oysterbay, Mikocheni, Upanga, Kijitonyama na Mbezi Beach ambapo kumekuwa na tabia ya Wazazi wa Kiume ( akina Baba ) kuwaanulia Watoto zao wa Kike ( Mabinti ) chupi zao ( nguo zao za ndani / kufuli ) na kuzishika kabisa mkononi kama vile wamebeba dhahabu na kuwapelekea chumbani kwao au kuwapa kama wapo nao karibu.

Je ni busara kweli kwa mila za Kiafrika kwa Baba kumuanulia bintiye chupi? Halafu ni kwa nini wenye hizi tabia ni Wazazi tu wa hayo maeneo tajwa lakini kwa Wazazi wa Kiume ( akina Baba ) wa maeneo ya Tandale, Mwananyamala, Manzese, Tandika, Yombo Vituka na Vingunguti bila kuisahau Buguruni wao Bintiye aache chupi kambani hata mwezi hathubutu kumuanulia na sana sana anaweza hata akaichukua na kuitupilia mbali au hata akakuambia uianue pale kambani huku kibao cha nguvu kikikufuata Shavuni. Kifupi Washua hawa ( akina Baba wa haya maeneo hawana muda na hawapendi shobo! )

Ningependa tu nifahamu nini kinapelekea hizi hali mbili za akina Baba wa Kishuani na wa Kisela hasa katika suala zima la kuwaanulia na kutowaanulia Mabinti zao chupi zao zilizotukuka kambani baada ya kufuliwa.

Karibu mtiririke wadau mnaoanua na kuanuliwa chupi.
 
Mie binafsi cwez kabisa hata kuthubutu, size ya mwanao utaijuaje ?unless akwambie. Pia nimeshtuka maeneo tajwa hapo juu maeneo niliyoishi mimi kama kariakoo, chang'ombe na Sinza cjawahi kusikia habari hizo. Ila ni bora ukatuambia umri wa watoto wenyewe ili michango yetu iwe na mantiki
 
Nahisi una lead mawazo ya watu yaende vile unavyowaza wew, unataka watu wawaze na kusema kuw hao wanao anua may be sababu wanajifany kuishi kizungu au kimagharibi n.k

Kiukweli sidhani kama umefanya utafiti kama unavyo claim
 
Inawezekana maeneo hayo uliyataja maarufu kwa kuwanunulia chupi watoto zao hakuna anaefanya vitendo vya ubakaji kuliko huko wanakoogopa chupi lakini hawaogopi kuwabaka watoto zao
 
Kimaadili hii imekaaje Wandugu? Hii kitu nimekuwa nikiiona sana maeneo ya Masaki, Oysterbay, Mikocheni, Upanga, Kijitonyama na Mbezi Beach ambapo kumekuwa na tabia ya Wazazi wa Kiume ( akina Baba ) kuwaanulia Watoto zao wa Kike ( Mabinti ) chupi zao ( nguo zao za ndani / kufuli ) na kuzishika kabisa mkononi kama vile wamebeba dhahabu na kuwapelekea chumbani kwao au kuwapa kama wapo nao karibu.

Je ni busara kweli kwa mila za Kiafrika kwa Baba kumuanulia bintiye chupi? Halafu ni kwa nini wenye hizi tabia ni Wazazi tu wa hayo maeneo tajwa lakini kwa Wazazi wa Kiume ( akina Baba ) wa maeneo ya Tandale, Mwananyamala, Manzese, Tandika, Yombo Vituka na Vingunguti bila kuisahau Buguruni wao Bintiye aache chupi kambani hata mwezi hathubutu kumuanulia na sana sana anaweza hata akaichukua na kuitupilia mbali au hata akakuambia uianue pale kambani huku kibao cha nguvu kikikufuata Shavuni. Kifupi Washua hawa ( akina Baba wa haya maeneo hawana muda na hawapendi shobo! )

Ningependa tu nifahamu nini kinapelekea hizi hali mbili za akina Baba wa Kishuani na wa Kisela hasa katika suala zima la kuwaanulia na kutowaanulia Mabinti zao chupi zao zilizotukuka kambani baada ya kufuliwa.

Karibu mtiririke wadau mnaoanua na kuanuliwa chupi.

Bintie wa miaka mingapi?
 
Mie binafsi cwez kabisa hata kuthubutu, size ya mwanao utaijuaje ?unless akwambie. Pia nimeshtuka maeneo tajwa hapo juu maeneo niliyoishi mimi kama kariakoo, chang'ombe na Sinza cjawahi kusikia habari hizo. Ila ni bora ukatuambia umri wa watoto wenyewe ili michango yetu iwe na mantiki

Inawezekana maeneo hayo uliyataja maarufu kwa kuwanunulia chupi watoto zao hakuna anaefanya vitendo vya ubakaji kuliko huko wanakoogopa chupi lakini hawaogopi kuwabaka watoto zao
Kuwanunulia ni swala jingine, mada inasemea kuwaanulia kwenye kamba.
Binafsi sioni shida saana labd awe na tabia mbaya ainuse maana wababa wa dar na wenyewe hawana dogo
 
Nashangaa hayo maeneo uliyoainisha mwanzo :- Mikocheni n.k masuala ya usafi wa nguo hufanywa na wafanyakazi sasa huyu BABA anahusikaje? hebu DADAVUA tuzidi kufikiria na kutoa maoni
 
Chupi si vazi kama vazi lingine?kama mvua inanyesha utatoa nguo zote uiache hiyo tuu
 
Back
Top Bottom